Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Kumbe Pascal wakati mwingine unaandika vitu sensible!!! I support your argument
 
Tanzania tulioizoea sio hii, usipokwenda kubadilisha reli kwenye kile chuma lazima mkazame kwenye tope kwani ile njia inaishia jirani tu hapo na wamekuwekea kibao kabisa kuwa pita kulia!!!!!!.
 
Wabunge wenyewe wakiwa bungeni wanasinzia tu~paul makonda
Wabunge wenyewe wakiwa bungeni wanapiga soga tu~jpm

Watu 350+ wanadharaulika na watu wawili na wanatulia kimya!!

Na bado bunge lijalo hawatahoji chochote ila kupitisha tu bajeti nyingine!

haya maajabu yanapatikana hapa Tz tu
 
hawa ma CAG nao wapigaji tu... magufuli anachokifanya yupo sahihi..

hii nchi kila mtu mwizi.... lazima uwe kauzu ndio itaenda...

yaani umpe CAG hela zote halafu wanafunzi udsm hawana pa kulala.... ***** zao ningekuwa mimi rais tanzania ingenyoooka..

magufuli ni chaguo sahihi sana ambayo ccm imewai kuifanya...

kama cag anaona kazi hawezi atupishe atakuja mwingine.. atafanya kazi hivyo hivyo kwa oc ndogo..

kipindi cha nyuma wamepewa sana hela na Jk na hakuna cha maana walichokuwa wanafanya halmashauri watu wanapiga hela tu kina lakairo na kampuni zao za janja janja...

epa yenyewe wazungu ndio waliokuja kagua wakaonesha makosa... ila angekagua team ya cag wangefunika makosa ili wapewe chao
 
Mayala ujuzi wako wa habari unaufukia ktk kina kirefu cha tope. Umeshindwa kuwa moto au baridi ila umebaki vuguvugu kwa hiyo tumekutapika toka ndani ya mawazo yetu na kukuona kila unachopost hakuna maana.
Haya mambo sisi tuliisha yapigia kelele sana ya mtu mmoja kufanya kazi zote za mihimili mingine lkn wewe pamoja na vikaragosi wenzako mmekuwa mstali wa mbele kupingwa na kuonyesha wazi kuwa wenye mawazo kama hao na wavivu wa kufikiri, wivu, na wasiojua kitu.
Sasa unapokuja na post kama hii, inabidi watu wakushangae tu kwa kujiuliza are you serious au ni zile drama zako za kuuma na kupuliza?
 
Mungu amekupa vyote ila amekunyima kitu cha maana sana,AKILI.
 
Haina ulazima, ufisadi ni ufisadi tu sasa nashangaa unapokua mbaguzi kwenye ku support aina fulani ya ufisadi.
Unapopendezwa na uvunjaji wa sheria kwenye jambo unaloona wewe lina faida, tegemea uvunjwaji wa sheria pia kwenye jambo ambalo kwako halitokua na faida.
 
Wewe mwenyewe siku hizi umewekwa mfukoni kumtetea Bashite itakuwaje wabunge wa CCM waliotishiwa majuzi na huyo aliyejigeuza kuwa bunge na CAG?
 
The man is simply becoming the LAW onto himself. That is not acceptable at all.
 


Oc ndo nini? (Kirefu chake/ maana yake)!
 
Mimi nalihurumia bunge letu tukufu, limekuwa kibogoyo. Likitabasamu halipendezi tena, likicheka ndio kabisa. Limedharauliwa na linadharauliwa na viongozi wa serikali.
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
mkuu usisahau watu ambao wako always negative against others. mfano ni wewe mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…