Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Sie tuko busy na Bashite....msitusumbue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha Pascal huo ndio ukweli kuwa nchi hii imeishiwa na haina hata sumni, tumenunua ndege kwa interest za nani na kwa bajeti ya nani?? Tunajenga uwanja wa ndege Chato kwa bajeti iiliyoidhinishwa na nani?? Na mengine ya hovyo hovyo hovyo, CAG amesema ukweli mchungu sana ambao Pro-ccm hawatakaa wakubali
 
Sizonje ana sifa zote za Kidikteta
Huhitaji kuwa na Masters iliyobobea ktk Administrative Law kuligundua hilo....huyu mtu keshalewa madaraka now lapta pembe km za nyumbu
 
Ole wake Mbunge wa CCM atakayekosoa Serikali,atakiona cha moto,nahata wale wanaowapa Muda wapinzani watakiona cha moto.

Mpaka hapo bado una Bunge au Una mfano wa Bunge?
Safi sana.
Wabunge wa CCM wameshapewa miongozo na Mungu wao wakifika bungeni washangilie uozo na kuupitisha ila wapinzani wapinge na kusimamia ukweli ktk kulijenga taifa.

Asante Muheshimiwa Sizonje kwa kuwapa ujinga wabunge wa chama chako
 
Toka awachimbe mkwara wabunge wake kuwa wasiihoji serikali...... Nimepata mashaka makubwa sana uadilifu wa mfalme.
Yapasa wenzake wote watambue mwenye kinga ni mmoja tu; hata avurunde vipi au afanye uchafu wa aina gani yuko salama sasa na hata baada ya "maisha haya".

Sasa wenzangu na mimi wawe makini wasije wakaingizwa chaka. Hatuwezi kujua baada ya maisha haya tawala zitakazofuata zitakuwa za namna gani. Anaweza kuibuka jasiri akafukua makaburi ya tangu enzi pasi na kulindana na ndio hapo "waliokuwa pamoja naye" watakapoingia matatani ilhali yeye akiwa salama bin salimini. Kwa mtindo huu, mwenye akili yampasa kuwa makini kuliko wakati mwingine wowote.
 
Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
 
Kazi za CAG zinafanywa na Raisi.


Kwa kifupi rais wa awamu hii yeye ndio kila kitu...ni rais...waziri wa kila Wizara...ni jaji wa majaji wa mahakama Zote...ni wakili wa mawakili wa mahakama Zote mpaka mawakili wa kujitegemea nao anataka kuwacontrol..ni mkaguzi wa wakaguzi wote wa mahesabu...ni mkuu wa wakuu wote wa vyuo vya umaa na binafsi...ni balozi wa mabalozi wote wanaotuwakilisha nchi mbali mbali...ni mkuu wa mikoa yote tanzania pamoja na wilaya zake..Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa vijiji na mitaa...ni balozi wa mabalozi wote wa Nyumba kumi..

Yaani huyu bwana yeye ndo kila kitu...yeye ndo anajua kila kitu wengine wote kwake hawana wanalolijua.
 

Hahaaaaaaaaaaaaa!
Kesho staili hiyo hiyo ikitumika kunyume na kuleta maendeleo usilalamike!
Ladba tu kwa lengo la kuokoa pesa! Hii mikao ya Dodoma ya wanene tuahirishe mpaka 2020. Maana kama wanakwenda kupiga porojo kuna haja gani wanakula Kodi zetu Bure????
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo

Kama wewe kabisa .... habari yako uliyoileta imesheheni na kuakisi ulichokizungumza .... sijui wewe ni raia wa nchi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…