Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Mkuu kila kitu kina Chanzo chake.
Hivi kwa mfano hata wakiwa serious sahivi na hayo unayopenda, ni nini hasa kitafanyika kama system nzima na "one man show"?

Kwanza tumshukuru hata huyo CAG kwa kupata ujasiri wa kuanika hayo.
 
h
ahahahaha umekula maharagwe ya wapi pascally wewe si kilasiku unasifia mambo ya bwana huyu ? tatizo lake hataki kufwata sheria kila kitu anafanya kwa kutumia fungu linaloitwa uraisi sasa anaenda mahali na hela kwenye sandarusi anatapaya bila kufwata sheria hatari saaana mara bombadia cash mara sijui nini kuchamba kwingi???
 
Tatizo ni kwamba wabunge wanafikiria wajibu wa serikali kuhudumia wananchi ni favor.

Hizi wizara zilizozidishiwa fedha zichunguzwe kwa matumizi mabaya ya fedha.

CAG nae atusaidie kwa kuresign.
Wameishapigwa mkwara juzi juzi tu, kwa jambo dogo la kugawa air time kwa upinzani, sasa unategemea kuna Mbunge hata moja mfano kutoka CCM ataweza hata kuhoji matumizi ya fedha.
 
Kwa hili unaelewa kwamba unasema uongo.
Hayo mambo yamepigiwa sana kelele ndani na nje ya bunge.
na kwa kifupi tu, kwa nini liwe jukumu la "wabunge wa upinzani" peke yake kukemea jambo hili? Ina maana wabunge wa CCM wao wanaona ni sawa kabisa mambo kwenda hiv?
Of course ni clear...CCM wote wameapa kumwunga mkono JPM hata akiamua kutembea barabarani bila nguo kwa kuwa ana nia njema na wanamwombea kila siku.
 
Unanishangaza sana Ndg yangu @ Pascal Mayalla wewe sio wa kuhoji haya.

Juzi Katibu Mkuu wa CDM kasema haya ikaonekana ni uchochezi.

Haya Sasa Tuendelee na kile kibwagizo Cheri cha kusomeshana namba.
 
Sasa huu ndio udikteta tunaouhubiri kuwa umepiga hodi Tanzania, yaani mtu mmoja kuamuakufanya chochote bila kufuata sheria na taratibu na bila kushirikisha mamlaka za kisheria.
 
Mbona hukushangaa siku ile pesa ya sherehe ya uhuru ilipoenda kupanua barabara ya Ali Hasan Mwinyi pamoja na malalamiko kuwa taratibu hazikufuatwa? Naomba usitujazie saver kwa jambo ambalo huko nyuma lilitokea na ukalinyamazia. MAYALLA=NJAA.
Kwa hiyo kama kosa lilishatokea ni sawa kurudiwa?
 

Paskali habari!!
Ukweli ni kwamba siyo tu 18% ya fedha bali kwingine hata 5% hawakupata, please fanya investigative analysis ya budget iliyokwenda kwenye Wizara ya Kilimo ili kuviwezesha vyuo vyake (MATIs) kutimiza sera ya taifa ya kilimo. Naomba ukimaliza expose hiyo area ili kuunganisha kauli za Nchi ya Viwanda, Hapa Kazi Tu, na Kilimo ni Uti wa Mgongo. Ahsante....
 
tatizo mic.......fa. mtu anasema natoa milion kumi fanyeni hivi unafikili pesa za kwake .
 
Hawa si ndio huwa wanapewa rushwa na halmashauri kuzipa hati safi kutokana na ubadhirifu sasa kuna haja gani ya kupoteza pesa kwenye taasisi kama hiyo..siku CAG ni watu wa usalama wa taifa.. Nilichogundua ukiwa na utawala bora hutaitaji hiyo taasisi.
 
Hivi sasa technical hewa wanaongezeka sana. CAG anafanyaje kazi? Wabunge wanapitisha vitu ambavyo havitendewi kazi na vinavyotendewa ni vile ambavyo hata havikujadiliwa. Sijui justification ya wao kuendelea kuwepo ni ipi?. Anyway, bunge linarejea hivi karibuni, watatetea uwepo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…