Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Taratibu za matumizi ya pesa za walipa kodi zilizokusanywa na Serikali kupitia kodi ya mapato inabidi zifuatwe na watendaji wote ndani ya Serikali ikiwemo Rais wa nchi. Kuzikiuka taratibu hizo za matumizi ya pesa ni usaliti mkubwa kwa Watanzania na pia ni uhujumu wa uchumi. Huwezi ukawa unachota tu pesa za walipa kodi ambazo hazikuidhinishwa na Bunge ukaamua kienyeji kienyeji tu kupeleka Chato bilioni 50 kwa ajili ya uwanja wa ndege na zaidi ya trilioni moja kununua ndege.
 
Hapa pana tatizo kubwa sana... fedha za serikali zinapotolewa na mtu mmoja kama ananunua matumizi ya nyumbani kwake yaani akikuta nyanya nzuri anaongeza sado mbili ni tatizo sana... CAG fanya kazi kwa weledi uokoe matumizi mabaya ya madaraka
 
Kama CAG atafanya kazi kama mtangulizi wake bila kuingiliwa basi kuna ufisadi mkubwa utagunduliwa kufanyika kutokana na kubadilisha matumizi yaliyoidhinishwa bunge
 
Unatakiwa uwe na jicho LA 3 kumuelewa Pasco ...
Mkuu,yaani kila nikisoma mabandiko ya Pasco na pacha wake Paskali Mayala,huwa nasikitika sana kukutana na comments za "kimsukule" kutoka kwa wanaojiita ni great thinker. Naomba sana kwa hawa mapacha Pasco na Paskali Mayala wawe wanaanza kwa angalizo la maana ya "kusoma kati ya mistari", "sacarsm" na "satire". Wengi wetu humu JF ni ama hatuna vyeti vya elimu ya kuzaliwa nayo toka kwa Mungu au hatupendi kutumia vyeti vyetu vya elimu ya kuzaliwa nayo toka kwa Mungu.
 
Leo kweli umechafukwa na Roho!! Hadi jina Lako umelikosea? Pakali nitarudi Kuja kuchangia ngoja kwanza munkari wako ushuke!!
 
Hizi ndizo habari tunazotegemea kutoka kwako Paskali. lakini zile za kuingilia ugomvi wa watu na kuandiaka madudu madudu ulipotea.

Hongera kwa kurudi kwenye Mstari.
 
Mkuu dudus,wengi wa hao watu hawafikirii hilo. Waangalie yaliyowatokea kina B. Mramba, G. Mgonja, D. Yona na wengine. Kila mwenye dhamana afanye kazi yake kwa maslahi ya umma.
 
Mtu hana adabu wala heshima na vymbo vya taratibu za matumizi ya fedha ya nchi halafu anajiita Raisi au Kiongozi maajabu I am sick
 
Wakati mwingine paskal huwa nakuona una uelewa mkubwa wa mambo lakini kumbe ww ni mbumbumbu kupita vile mtu anavoweza kuwaza,

Huyo unaemwita mtu anaejifanya ye ndo serikali, kuanzia leo nikuambie kuwa YES, YEYE NDO SERIKALI, NDO MKUU WA SERIKALI. nakuomba ukasome katiba ya JMTZ, na nilitegemea utakuwa umepita kote uko ndo uje apa. Soma mamlaka ya rais wako. Uhoji haya anayofanya kama anavunja katiba au anavunja sheria ipi. We umetoa hoja kama mpiga debe tu wa pale ubungo.
Kazi za CAG sio hizo unazozisema. Majukumu yake hayako hivo. Kwa kukusaidia tu ni kuwa jukumu moja wapo la CAG ni kuishauri serikali namna nzuri ya kusimamia matumizi yake. Na ushauri huo anautoa kwa rais. Sasa ili ushauri huo uweze kuwa implemented huku chini ni lazima uwe na rais mwenye nguvu. Ambaye akishasema hivi, anasimamia kile alichokiongea na kukisukuma kwa nguvu kubwa kuhakikisha kuwa kinatekelezwa.

Haya mambo

Ni rais peke yake ndie mwenye mamlaka ya kuhamisha hela kutoka fungu hili kwenda fungu lile.
Sheria inamkataza rais kutumia hela zaid ya budget. Yaani kama bunge lilipitisha trillion mbili, rais haruhusiwi kutumia zaid ya trillion mbili, kama anahitaji hela zaid lazima apeleke maombi ya budget ya ziada bungen. Ila kuhamisha hela kutoka huku kwenda kule inaruhusiwa. Kuchukua hela ya chai na posho na kuipeleka kujenga barabara ipo
Wakati mwingine paskal huwa nakuona una uelewa mkubwa wa mambo lakini kumbe ww ni mbumbumbu kupita vile mtu anavoweza kuwaza,

Huyo unaemwita mtu anaejifanya ye ndo serikali, kuanzia leo nikuambie kuwa YES, YEYE NDO SERIKALI, NDO MKUU WA SERIKALI. nakuomba ukasome katiba ya JMTZ, na nilitegemea utakuwa umepita kote uko ndo uje apa. Soma mamlaka ya rais wako. Uhoji haya anayofanya kama anavunja katiba au anavunja sheria ipi. We umetoa hoja kama mpiga debe tu wa pale ubungo.
Kazi za CAG sio hizo unazozisema. Majukumu yake hayako hivo. Kwa kukusaidia tu ni kuwa jukumu moja wapo la CAG ni kuishauri serikali namna nzuri ya kusimamia matumizi yake. Na ushauri huo anautoa kwa rais. Sasa ili ushauri huo uweze kuwa implemented huku chini ni lazima uwe na rais mwenye nguvu. Ambaye akishasema hivi, anasimamia kile alichokiongea na kukisukuma kwa nguvu kubwa kuhakikisha kuwa kinatekelezwa.

Ni rais peke yake ndie mwenye mamlaka ya kuhamisha hela kutoka fungu hili kwenda fungu lile.
Sheria inamkataza rais kutumia hela zaid ya budget. Yaani kama bunge lilipitisha trillion mbili, rais haruhusiwi kutumia zaid ya trillion mbili, kama anahitaji hela zaid lazima apeleke maombi ya budget ya ziada bungen. Ila kuhamisha hela kutoka huku kwenda kule inaruhusiwa. Kuchukua hela ya chai na posho na kuipeleka kujenga barabara ni sahihi kabisa na ipo kwenye mamlaka ya rais. Matumizi ya Serikali yanategemea makusanyo, hivo ni kawaida sana wizara moja kupata zaidi ya wizara nyingine kulingana na vipaumbele vya serikali. Mwisho wa siku matumizi yote yanakuwa within a budget.

Mshahara wako ni laki sita, umepanga budget yako vizuri lakin katikat ya mwezi unapata mgeni, unachukua uku unatumia. Mara mchele unapanda bei unachukua hela ya vocha unatumia uku, hela ya vocha inapungua. Ukitaka kutumia zaid ya mshahara kuna mtu inabidi ukamuombe akukopeshe.

Ndugu yangu paskal haya mambo ni rahis sana kuyaelewa.
 
Paskali, CAG kazi yake ni kukagua matumizi sio kuidhinisha. Bunge likishapitisha bajeti muidhinishaji ni Pay Master General- ambaye ni katibu mkuu hazina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…