+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,940
- 762
Kisheria Rais hana uwezo wa kumfukuza kazi CAG kirahisi rahisi kama anavyofukuza wengine.Kwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisheria Rais hana uwezo wa kumfukuza kazi CAG kirahisi rahisi kama anavyofukuza wengine.Kwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Hata mimi naunga mkono,Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema"
paskali kapotea na sijui sababu alialikwa whitehouse au????Paskali huwa kuna saa unaanza vizuri ukifika karibu na mwishoni unaharibu maana ya thread yako yote!!! Mfano thread yako kwenye paragraph ya mwisho inasema "NB. Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema" Hapa hata mtoto wa chekechea kumuelezea ni ngumu mno. Ukishatumia neno Ufisadi kamwe hauwezi kuwa mzuri, pili unasema kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge wakati huko juu umetuambia matumizi yamefanyika bila kupitishwa na Bunge? Unasema udikteta mzuri lini udikteta uliwahi kuwa mzuri? Unazunguka zunguka kuhusu mhusika mkuu wa hili saga ili iweje? Je ni kutaka kutokuwafanya watu fulani ambao ni wakubwa wasikuchukie au ni kujiweka karibu na watawala? Una uma na kupuliza huu uandishi wako wa habari ni wa ovyo, tena ovyo kweli kweli ambao sijapata kuona!! Umekuwa na thread za undumi la kuwili Mno!!! Tunachojua ni hichi Raisi wa JMT kwa sasa ni Bunge, ni Mahakama na ndio Executive!! Hayo yamejidhirisha juzi kwenye kikao chake na Wabunge wa CCM!! Aliyowaambia Kuhusu mpango wao wa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na PM pamoja na suala la Kwenda kumsalimia Lema gerezani na akawaambia waseme shida zao atawasaidia manake nini? Manake siku hizi raisi ndio anapanga Budget na sio Bunge tena!! Sasa Raisi ndio anapanga Budget kwa wabunge na sio wabunge kupanga Budget tena, sasa hapo cha ajabu nini? Tibu au Pigia Kelele tatizo acha kuhangaika na matokeo ya Tatizo wewe!!! Sijawahi kuona waandishi Wa ovyo kama waandishi Wa habari wa kitanzania!!! Mmebaki kukimbizana na bahasha za kaki na kujikomba ili mate vyeo tu hamna la zaidi bora wananchi wajue jinsi ya kujitafutia habari zao wenyewe
Exactlypaskali kapotea na sijui sababu alialikwa whitehouse au????
anaongea point na kumalizia pointless.
paskali kwanini usiweke kalamu chini????
au njaaa inakusumbua???
Peleka ujinga huko why usimquote yeye? Hiyo statement si iko kwenye thread yake? Unajua ujinga ni kutokujua hata umquote nani!!!Hata mimi naunga mkono,
Kupanga ni kuchagua........Kimsingi hiki chombo Bunge iko siku kitapitwa na wakati.
Dunia ya leo tunahitaji mfumo tofauti na huu
Shida yako ndo hiyo tu.... Uzi wako wote umekosa maana..B. Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema.
Usiseme ukuda mkuu, maana sisi si wakaguzi wa hesabu za serikali tunapo pata taarifa ni jukumu letu kuhoji iwe matumizi mabaya ya fedha za umma au kufoji vyeti, kwahiyo tupo sahihi hata kuhusu Bashite.Mengi kama haya yapo nchi hii
na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua
watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!
mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Ukijaribu kumsoma, unatambua bayana hata yeye haitaki tena kazi hiyo. Huyu mzee ni makini hapendi dharau.Kwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Mambo yaparanganyikaThings fall apart
Waziri wake nani mkuu?Kuna Wizara mpya siku hizi inaitwa CHATO
Nashukuru sana...Laiti ungalijua.Peleka ujinga huko why usimquote yeye? Hiyo statement si iko kwenye thread yake? Unajua ujinga ni kutokujua hata umquote nani!!!