Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Kwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Kisheria Rais hana uwezo wa kumfukuza kazi CAG kirahisi rahisi kama anavyofukuza wengine.
5c0860fb37392150ad71c4e5947d8b1a.jpg
 
hii nchi ni kimeo kabisa..hizi ndio hoja za kujadiliwa na kupigiwa kelele..lakini utakuta mwaka mzima tunautumia kujadili majungu na upuuzi.na hii ndio inayosababisha huyo bwana mkubwa ajione yupo sahihi..maana hakuna anayehoji..zaidi ya kuhoji utumbo tu!
 
Paskali huwa kuna saa unaanza vizuri ukifika karibu na mwishoni unaharibu maana ya thread yako yote!!! Mfano thread yako kwenye paragraph ya mwisho inasema "NB. Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema" Hapa hata mtoto wa chekechea kumuelezea ni ngumu mno. Ukishatumia neno Ufisadi kamwe hauwezi kuwa mzuri, pili unasema kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge wakati huko juu umetuambia matumizi yamefanyika bila kupitishwa na Bunge? Unasema udikteta mzuri lini udikteta uliwahi kuwa mzuri? Unazunguka zunguka kuhusu mhusika mkuu wa hili saga ili iweje? Je ni kutaka kutokuwafanya watu fulani ambao ni wakubwa wasikuchukie au ni kujiweka karibu na watawala? Una uma na kupuliza huu uandishi wako wa habari ni wa ovyo, tena ovyo kweli kweli ambao sijapata kuona!! Umekuwa na thread za undumi la kuwili Mno!!! Tunachojua ni hichi Raisi wa JMT kwa sasa ni Bunge, ni Mahakama na ndio Executive!! Hayo yamejidhirisha juzi kwenye kikao chake na Wabunge wa CCM!! Aliyowaambia Kuhusu mpango wao wa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na PM pamoja na suala la Kwenda kumsalimia Lema gerezani na akawaambia waseme shida zao atawasaidia manake nini? Manake siku hizi raisi ndio anapanga Budget na sio Bunge tena!! Sasa Raisi ndio anapanga Budget kwa wabunge na sio wabunge kupanga Budget tena, sasa hapo cha ajabu nini? Tibu au Pigia Kelele tatizo acha kuhangaika na matokeo ya Tatizo wewe!!! Sijawahi kuona waandishi Wa ovyo kama waandishi Wa habari wa kitanzania!!! Mmebaki kukimbizana na bahasha za kaki na kujikomba ili mate vyeo tu hamna la zaidi bora wananchi wajue jinsi ya kujitafutia habari zao wenyewe
 
Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema"
Hata mimi naunga mkono,
Kupanga ni kuchagua........Kimsingi hiki chombo Bunge iko siku kitapitwa na wakati.
Dunia ya leo tunahitaji mfumo tofauti na huu
 
Maswali haya ni ya kiutendaji, wanaopaswa kujua majibu yake wanayajua. Insonekana for sure wewe siyo mmoja wao kwa hiyo ni bora zaidi kama ungekaa kimya au uende kwa mwakilishi wako uliyemchagua ubunge au udiwani afuatilie. Siyo kila Mtanzania ataingia jikoni kunusa mchuzi au kuweka ndimu - tuliowachagua wanatosha. Bill Marconi.
 
Paskali huwa kuna saa unaanza vizuri ukifika karibu na mwishoni unaharibu maana ya thread yako yote!!! Mfano thread yako kwenye paragraph ya mwisho inasema "NB. Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema" Hapa hata mtoto wa chekechea kumuelezea ni ngumu mno. Ukishatumia neno Ufisadi kamwe hauwezi kuwa mzuri, pili unasema kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge wakati huko juu umetuambia matumizi yamefanyika bila kupitishwa na Bunge? Unasema udikteta mzuri lini udikteta uliwahi kuwa mzuri? Unazunguka zunguka kuhusu mhusika mkuu wa hili saga ili iweje? Je ni kutaka kutokuwafanya watu fulani ambao ni wakubwa wasikuchukie au ni kujiweka karibu na watawala? Una uma na kupuliza huu uandishi wako wa habari ni wa ovyo, tena ovyo kweli kweli ambao sijapata kuona!! Umekuwa na thread za undumi la kuwili Mno!!! Tunachojua ni hichi Raisi wa JMT kwa sasa ni Bunge, ni Mahakama na ndio Executive!! Hayo yamejidhirisha juzi kwenye kikao chake na Wabunge wa CCM!! Aliyowaambia Kuhusu mpango wao wa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na PM pamoja na suala la Kwenda kumsalimia Lema gerezani na akawaambia waseme shida zao atawasaidia manake nini? Manake siku hizi raisi ndio anapanga Budget na sio Bunge tena!! Sasa Raisi ndio anapanga Budget kwa wabunge na sio wabunge kupanga Budget tena, sasa hapo cha ajabu nini? Tibu au Pigia Kelele tatizo acha kuhangaika na matokeo ya Tatizo wewe!!! Sijawahi kuona waandishi Wa ovyo kama waandishi Wa habari wa kitanzania!!! Mmebaki kukimbizana na bahasha za kaki na kujikomba ili mate vyeo tu hamna la zaidi bora wananchi wajue jinsi ya kujitafutia habari zao wenyewe
paskali kapotea na sijui sababu alialikwa whitehouse au????
anaongea point na kumalizia pointless.

paskali kwanini usiweke kalamu chini????

au njaaa inakusumbua???
 
Hata mimi naunga mkono,
Kupanga ni kuchagua........Kimsingi hiki chombo Bunge iko siku kitapitwa na wakati.
Dunia ya leo tunahitaji mfumo tofauti na huu
Peleka ujinga huko why usimquote yeye? Hiyo statement si iko kwenye thread yake? Unajua ujinga ni kutokujua hata umquote nani!!!
 
Nnapata ukakasi sana kusikia kuna wizara imepewa 16% ya budget ilihali nyingine imepata 230% ya budget.

Katika budget iliyopita nnakumbuka kuna wizara ilipitishiwa budget ya 4Trillion na ndiyo wizara yenye heka heka nyingi.

So kwa kifupi kama wizara iliyopewa budget ya 4trillion ilizidisha matumizi kwa 230% jibu tunalopata ni kuwa hiyo wizara licha ya kupewa budget kubwa kuliko zote ila bado ilitumia ziada ya 5.2Trillion
 
B. Kama matumizi haya yaliyoidhinishwa na Bunge ni yale yaliyotumika kununulia zile Bombardier za ATC na haya yaliyotumika kuhamia Dodoma, then huu ni ufisadi mzuri, ufisadi wa kimaendeleo ambao mimi naaunga mkono kama ninavyounga mkono udikiteta ukifanyika kwa nia njema.
Shida yako ndo hiyo tu.... Uzi wako wote umekosa maana..
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Usiseme ukuda mkuu, maana sisi si wakaguzi wa hesabu za serikali tunapo pata taarifa ni jukumu letu kuhoji iwe matumizi mabaya ya fedha za umma au kufoji vyeti, kwahiyo tupo sahihi hata kuhusu Bashite.
 
Asante kwa ujumbe mzuri lakini nani atamfunga paka kengele? Wabunge wapinzani ndo hao wanakesi tano tano, hata labda wakiongea bungeni , watapuuzwa, spika anapewa maelezo ,hata mkikomaa inapigwa tu kura ya wanaosema ndiyooooooo hapo wanashindwa hoja inazima. Mwenyekiti wao kashawaambia waisapoti serikali yao kwa kila hali na mali na hatakubali usaliti

Hakuna kitachotokea sote twamwogopa mkuu, afanye atakavyo atuachie uhai wetu tu
 
Back
Top Bottom