Madeni ya TALA na Branch

tala walikua wananipiia simu kila mara kwa namba ya kenya nikawa sipokei badae wakabadili namba ya kibongo nikastuka, sababu line niliyokopea ni mpya nikaapa sipokei simu kutoka kwenye hiyo namba. Sasa ni mwendo wa sms za mikwara,,, jamaa wana mikwara haijawahi tokea aisee ila nawakomesha sababu mwanzo nilikopa wakati wa kurudisha nikazidisha elf 5 makusudi wakaniambia next mkopo wataijazia ila hawakufanya hivyo so kama walivyoniibia nao wapambane na hali yao.
 
hahhaah
 
Hahaah umewaweza asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh wameajir kampun kabsa ya kudai watu kah mbona kam wapo serious hvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza wakatangaza hata kwenye redio kwamba bwana nyakandula anadaiwa mkopo wa Tsh trilion 1.5
Alafu watawezaje kuthibitisha kwamba wananidai 1.5T ilihali wananidai 20K?
Alafu kesi ya madai sio kesi ngumu maana mchakato wake una mambo mengi ambayo anayekudai anaweza kughaili.

Hivi unanidai 20K hukumu ikasema niende jela miezi sita na kisha nilipe pesa yako, je uko tayari kunihudumia chakula kwa miezi sita nikiwa jela ili nikitoka nikulipe 20K?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilikopa elfu kumi lakini walinisumbua sana....tatizo lilikua ni ule usumbufu wa kila mara
 
Hahaaa daah !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana mkwara mzito ukiwa na roho nyepesi unaweza kutafuta pesa popote uwalipe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…