Madeni ya TALA na Branch

Madeni ya TALA na Branch

Wakinipogia nawaambia baada ya muda nawalipa,wanakata simu,,kila wakinipigia nawaambia hivyo hivyo na siku zinasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
k
Hofu yangu ni kwamba wanaweza wakaaa wapo kimya lakini wanakupigia hesabu zile interest za mkopo wako wa kila mwezi siku wakikukomalia baada ya kulipa 10000 ukajikuta unalipa zaidi ya hiyo. Na pia sawa wanaweza wasikufunge lakini utapoteza muda wako na mambo ya kesi mahakamani endapo wakachukuwa sheria kikamilifu. Lipa tu mkuu ni haki yao hiyo

.
UK kuna mawakala wa kukusanya madeni,gharama za ukusanyaji na interest mdaiwa inakuhusu.Mambo ya kukopeshana kishkaji muda wake umeisha,unataka mkopo wa haraka nenda tala,branch,Tigo pesa ambapo dawa ni uaminifu.
 
Yani bongo bwana daaaah. Ndo maana hatuendelei. We kampuni kama hii imejitolea kutoa mikopo nafuu kwa ajili ya kuwakwamu wananchi kiuchumi tena kwa ribs ndogo sana. Lakin bado watu hawalipi jamni....maisha hayawezi badilika kwa mtindo huu asee.....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mshkaji alinipigia nimuazime pesa 50,000/,nikamwambia akope tala au branch.Kumbe na huko kakimbia deni,sasa nikajiuliza unakimbiaje deni kwa kampuni ambayo hata ukitaka pesa yao hawakunyanyasi kwa maneno.Ni kitendo cha kukaa home na kuchukua pesa,now ukikosa uaminifu usimlaumu MTU.
 
Duh, huyo jamaa yako mpaka nimecheka...yaani kashaharibu huko sasa akakimbilia kwako.

Na huenda wapo Washikaji wengine wanamdai.
 
Wabongo tuna matatizo sana, mnawaharibia sana wale Wachache wenye uhitaji na ni Waaminifu na Waadiliifu.
 
Nimesikitika sana kuona watu wanavyotumia vibaya fursa za kukopa...na mtu unajisifia kabisa kwa mbwembe nyingi

Halafu unategemea ufanikiwe kwenye biashara yako...huo si ni udhulumaji na kujitengenezea malaana bila sababu

Ndo maana hata wakati mwingine unapatwa na majanga yanayokugharimu haya mara tano ya hela uliyodhulumu mtu au taasisi

Bora usilipe kwa sababu umeshindwa mambo yameenda vibaya kuliko kupanga kutapeli. Mtu unasajili namba mpya ya kukopea ili utapeli? Una tofauti gani na kibaka wa manzese?

Na wala hii sio humu tu, hata Mtaani nimeshawasikia Watu wanaongea kwa kujitapa namna walivyowahi kukopa na kutolipa...tena ni hizo pesa ndogondogo tu.
 
Taasisi za ukopeshaji katika nchi ambazo watu hawana spirit ya kulipa madeni huwa zinapata tabu sana,ndio maana nchi zetu tutachelewa sana kuwa linked na huduma kama za Credit card n.k,na hakuna most of us tunakopa na hatutaki kulipa,mifumo kama TALA ni rahisi kupata faida nchi zilizoendelea ambako uchumi ni mkubwa na watu wanajua umuhimu wa kulipa madeni,unapoingia katika biashara ya kukopesha ina maana umekubali ku accept risk zozote zinazoweza kutokea,inabidi ujipange hasa kwenye hizi unsecured Loan ni pasua kichwa sana,i used to be a Credit Officer somewhere na mikopo ina dhamana lakini kupata marejesho sometimes ni kazi,una kuta mtu is able but unwilling to pay his/her obligations....so TALA au BRANCH wajifikirie upya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said...
Kama ni wakenya bora wangeacha kukopesha watanzania maana naona wengi wetu hatuna elimu sahihi ya mikopo..

Mtu unajisifia utapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ngumu
Nimesikitika sana kuona watu wanavyotumia vibaya fursa za kukopa...na mtu unajisifia kabisa kwa mbwembe nyingi

Halafu unategemea ufanikiwe kwenye biashara yako...huo si ni udhulumaji na kujitengenezea malaana bila sababu

Ndo maana hata wakati mwingine unapatwa na majanga yanayokugharimu haya mara tano ya hela uliyodhulumu mtu au taasisi

Bora usilipe kwa sababu umeshindwa mambo yameenda vibaya kuliko kupanga kutapeli. Mtu unasajili namba mpya ya kukopea ili utapeli? Una tofauti gani na kibaka wa manzese?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani

Wew ni mwongo balaaaa mimi pia nimekopa koteeee bila shida
Na ninatokomea siri ndogo tu pia nikupe ile number ya voter ID haina maana coz nilibadili na nimekopa na nikapata mkopo sawa wakatafute hiyo number ya voter ID wakiipata shenz
 
Kuna kitu kinaitwa CRB....credit bureau reference. Wakipeleka jina lako huko utaonekana ulivyo msumbufu.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom