Madeni ya TALA na Branch

Wakinipogia nawaambia baada ya muda nawalipa,wanakata simu,,kila wakinipigia nawaambia hivyo hivyo na siku zinasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
k UK kuna mawakala wa kukusanya madeni,gharama za ukusanyaji na interest mdaiwa inakuhusu.Mambo ya kukopeshana kishkaji muda wake umeisha,unataka mkopo wa haraka nenda tala,branch,Tigo pesa ambapo dawa ni uaminifu.
 
Kuna mshkaji alinipigia nimuazime pesa 50,000/,nikamwambia akope tala au branch.Kumbe na huko kakimbia deni,sasa nikajiuliza unakimbiaje deni kwa kampuni ambayo hata ukitaka pesa yao hawakunyanyasi kwa maneno.Ni kitendo cha kukaa home na kuchukua pesa,now ukikosa uaminifu usimlaumu MTU.
 
Duh, huyo jamaa yako mpaka nimecheka...yaani kashaharibu huko sasa akakimbilia kwako.

Na huenda wapo Washikaji wengine wanamdai.
 
Wabongo tuna matatizo sana, mnawaharibia sana wale Wachache wenye uhitaji na ni Waaminifu na Waadiliifu.
 
Nimesikitika sana kuona watu wanavyotumia vibaya fursa za kukopa...na mtu unajisifia kabisa kwa mbwembe nyingi

Halafu unategemea ufanikiwe kwenye biashara yako...huo si ni udhulumaji na kujitengenezea malaana bila sababu

Ndo maana hata wakati mwingine unapatwa na majanga yanayokugharimu haya mara tano ya hela uliyodhulumu mtu au taasisi

Bora usilipe kwa sababu umeshindwa mambo yameenda vibaya kuliko kupanga kutapeli. Mtu unasajili namba mpya ya kukopea ili utapeli? Una tofauti gani na kibaka wa manzese?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wala hii sio humu tu, hata Mtaani nimeshawasikia Watu wanaongea kwa kujitapa namna walivyowahi kukopa na kutolipa...tena ni hizo pesa ndogondogo tu.
 
Well said...
Kama ni wakenya bora wangeacha kukopesha watanzania maana naona wengi wetu hatuna elimu sahihi ya mikopo..

Mtu unajisifia utapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa yao ni kuwatia kwenye blacklist. Halafu unaendelea na maisha yako safi!
 
ukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani

Wew ni mwongo balaaaa mimi pia nimekopa koteeee bila shida
Na ninatokomea siri ndogo tu pia nikupe ile number ya voter ID haina maana coz nilibadili na nimekopa na nikapata mkopo sawa wakatafute hiyo number ya voter ID wakiipata shenz
 
Kuna kitu kinaitwa CRB....credit bureau reference. Wakipeleka jina lako huko utaonekana ulivyo msumbufu.

Sent using my Nokia Torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…