Bado najiuliza kama nilikuwa sahihi kuchukua haka ka mkopo ili kuboresha maisha kwa maana maisha yamekua magumu baada ya kuchukua loan. Natumia pesa nyingi kwenye marejesho kiasi cha kufanya maisha yawe ya shida shida. Mkopo uliniboost kwa kipindi kifupi ila mzigo wa kurejesha umekuwa ni wa mda mreefu.
Bado Najiuliza kama nilikuwa sahihi kuvuta hiyo 'bingo'...
Atakula mawe kwel kwasababu unatakiwa uchukue hela uongezee kwenye biashara ili ukuze kipato uweze kurejesha sasa kama unachukua unajengea nyumba lazima uone bank wqnakuumiza pole mkuu next tym utakuwa umeelewa nini maana ya mkopo