Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Bado najiuliza kama nilikuwa sahihi kuchukua haka ka mkopo ili kuboresha maisha kwa maana maisha yamekua magumu baada ya kuchukua loan. Natumia pesa nyingi kwenye marejesho kiasi cha kufanya maisha yawe ya shida shida. Mkopo uliniboost kwa kipindi kifupi ila mzigo wa kurejesha umekuwa ni wa mda mreefu.
Bado Najiuliza kama nilikuwa sahihi kuvuta hiyo 'bingo'...
Bado Najiuliza kama nilikuwa sahihi kuvuta hiyo 'bingo'...