Madeni yalivyotaka kuniua njaa

Madeni yalivyotaka kuniua njaa

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Bado najiuliza kama nilikuwa sahihi kuchukua haka ka mkopo ili kuboresha maisha kwa maana maisha yamekua magumu baada ya kuchukua loan. Natumia pesa nyingi kwenye marejesho kiasi cha kufanya maisha yawe ya shida shida. Mkopo uliniboost kwa kipindi kifupi ila mzigo wa kurejesha umekuwa ni wa mda mreefu.
Bado Najiuliza kama nilikuwa sahihi kuvuta hiyo 'bingo'...
 
Mkuu leta mawazo yako nasisi tujifunze, maana nina jamaa yang wa karibu ananishawishi kuchukua mkopo tufanyie biashara
 
Wenzio wanachukua mkopo kuanzisha biashara

Kama ulichukua kwa ajili ya kuweka heshima bar lazima ufe njaa tu
 
Mkuu chukua mkopo fanyia biashara ikuongezee kipato, lkn eti jenga nyumba, nunua kiwanja,jenga heshima bar utakula mawe nakuambia
 
Kukopa raha kulipa matanga, pole sana mkuu
 
kwanini ufe njaa waache tu wauze dhamana yao iliyokupatia huo mkopo
 
Back
Top Bottom