Madereva 12 wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na COVID-19

Madereva 12 wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na COVID-19

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya has recorded 57 new coronavirus cases marking the highest single-day Covid-19 infections recorded so far in the country.

In a statement issued on Sunday, Government Spokesperson Col. Cyrus Oguna said 2,198 samples had been tested out of which 57 people tested positive, bringing the total number of positive cases in Kenya to 887.

The distribution of the cases by counties is as follows: Mombasa (35), Nairobi (17), Kajiado (3), Kwale (1) and Kitui (1).

“Thirty-four of the positive cases are males, and 23 are females. The youngest of the cases is two years old while the oldest is 61 years. Cumulatively, we have so far tested 43,712 samples,” adds the statement.

In Mombasa, the 35 cases are distributed in the following estates; Mvita (22), Likoni (4), Changamwe and Nyali have three cases each, Kisauni (2) and Jomvu one case.

In Nairobi, the 17 cases are distributed in the following estates; Kibra (9), a mandatory quarantine centre in Nairobi two cases, and Eastleigh two cases. Aga Khan Hospital, Kamulu, Dandora and Pangani have one case each.

Kwale has one case in Msambweni, Kitui has one case in Mwingi Town, while the three in Kajiado are from Kajiado central (2) and Kajiado North with one case.

Meanwhile 12 individuals, all being Tanzanian truck drivers, have also tested positive for the virus.

According to the government , 11 of them tested positive at Lunga Lunga Border and one at Taveta Border and were all referred back to Tanzania.

12 patients have since been discharged from hospital, bringing the total number of people who have so far recovered from coronavirus to 313, while those that have succumbed to the disease remain at 50.

Source: Citizen TV

======

Majirani hiki kitu kipo, chukueni tahadhari, tukiwaachia muingie hivi hivi mtatumaliza, lazima mpimwe kila mmoja baada ya mwingine. Hawa 12 walijaribu kuingia kupitia mpaka wa Lungalunga.

Wamepewa matokeo ya vipimo vyao na kuachiwa warudi kwao huko watajua wenyewe kama watafukiza, au waendelee kutema mbegu na kuambukiza zaidi. Lakini Kenya hawaingii wakiwa katika hiyo hali.
 
MK254, Huu upuuzi mpaka mtakuja kuchoka tu wenyewe..Taifa letu litasonga tu chini ya JPM,hatuwezi wafata majirani ilihali picha ya wazi ya wao kulipwa pesa kwa vikwazo inaonekana,

tukose corona kwenye mabasi kila siku waje wapate corona madereva wanao safiri peke yao kwenye maroli..wakenya mmekula hela na madeni mengine ya China kuna siku mtazitapika na sisi tutakua tunawachek tu. Ni swala la muda tu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Huu upuuzi mpaka mtakuja kuchoka tu wenyewe..Taifa letu litasonga tu chini ya JPM,hatuwezi wafata majirani ilihali picha ya wazi ya wao kulipwa pesa kwa vikwazo inaonekana,tukose corona kwenye mabasi kila siku waje wapate corona madereva wanao safiri peke yao kwenye maroli..wakenya mmekula hela na madeni mengine ya China kuna siku mtazitapika na sisi tutakua tunawachek tu. Ni swala la muda tu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Sisi hatujajichokea na kukata tamaa kama mlivyofanya hadi mkaanza kuleta usanii wa mapaipai na oili ya gari, tunapimaa pima pima, huingii huku utakavyo, lazima upimwe, nyie ogeleeni huko kwa corona lakini huku lazima upimwe, msituletee balaa lenu.
 
Tunajua sana kua wengine mnaropoka hapa na si waTanzania, mmelipwa kwa mabeberu kwa kitu ambacho hamtafanikiwa,ntarudi kukukumbusha mwaka ujao mtakapo gongwa na njaa,na madeni ya waChina mtakoma pumbavu kabisa
Sisi hatujajichokea na kukata tamaa kama mlivyofanya hadi mkaanza kuleta usanii wa mapaipai na oili ya gari, tunapimaa pima pima, huingii huku utakavyo, lazima upimwe, nyie ogeleeni huko kwa corona lakini huku lazima upimwe, msituletee balaa lenu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Sisi hatujajichokea na kukata tamaa kama mlivyofanya hadi mkaanza kuleta usanii wa mapaipai na oili ya gari, tunapimaa pima pima, huingii huku utakavyo, lazima upimwe, nyie ogeleeni huko kwa corona lakini huku lazima upimwe, msituletee balaa lenu.
Kwahiyo hakuna visa vipya vya ndani ya Kenya zaidi ya madereva wa maroli eti?
 
Sisi hatujajichokea na kukata tamaa kama mlivyofanya hadi mkaanza kuleta usanii wa mapaipai na oili ya gari, tunapimaa pima pima, huingii huku utakavyo, lazima upimwe, nyie ogeleeni huko kwa corona lakini huku lazima upimwe, msituletee balaa lenu.
Lakini usifumbie macho ukweli kuwa Jana peke yake Kenya kulikuwa na wagonjwa wapya wa corona 49!!

Kwa mazingira hayo Jirani una boriti jichoni lakini unaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako!! Hiyo night curfew (mliyoibatiza jina la partial lockdown) imewasaidia nini? Hicho mlichokifanya ni usanii mtupu!

Asanteni kwa kuwapima madreva wetu na sisi tunawapima wa kwenu. That is a good practice!! Tatizo ni pale unapoonyesha kufurahia baadhi yao kuwa positive wakati si kitu cha ajabu, huku ukijua hata kwako wagonjwa per day ni wengi zaidi (49).
 
Ndio mko bize na kusema tz ina wagonjwa na kujisahau kwenu huko kukoje!
Kazeni buti kupata takwimu msizozifanyia kazi!
 
Ndio mko bize na kusema tz ina wagonjwa na kujisahau kwenu huko kukoje!
Kazeni buti kupata takwimu msizozifanyia kazi!
Wanaimba majungi mpaka wanasahau kuwahimiza wananchi kuchukua tahadhali na ugonjwa[emoji1][emoji1][emoji1].maisha ni vile unaamua.
 
Sisi hatujajichokea na kukata tamaa kama mlivyofanya hadi mkaanza kuleta usanii wa mapaipai na oili ya gari, tunapimaa pima pima, huingii huku utakavyo, lazima upimwe, nyie ogeleeni huko kwa corona lakini huku lazima upimwe, msituletee balaa lenu.
Corona is here tu stay you kindas.

endeleeni na utoto soon mtajua hamjui.
 
Heading imekaa kimipasho..ina maana kati ya watu 57 wa Kenya waliopatikana na virusi, ulioona wanastahili kubeba kichwa cha habari yako ni hao 12 Innocent Tanzanian ambao wamebeba jukumu la kuwaletea chakula.
Hii kiburi yenu itawamaliza.
 
MK254 nikuulize, the so called partial lockdown mmemaliza Jana. Jana mlikuwa na wagonjwa wapya 49 leo mna wagonjwa wapya 57 (an increase of more than 10), kesho tutegemee around 70!! Hiyo partial lockdown ya kisanii imewasaidia nini?

Kama mnaamini katika lockdown kwa nini hamfanyi total lockdown baada ya hiyo partial lockdown kutokusaidia lolote!

Kama mkakati mlioutumia haujawasaidia kwa nini mnaonekana kulaumu wale ambao hawakuchukua hatua ya lockdown japo wana maambukizi kidogo?
 
Wakuu statement hii inafikirisha:

"Majirani...hiki kitu kipo, chukueni tahadhari.... tukiwaachia muingie hivi hivi mtatumalizza, lazima mpimwe kila mmoja baada ya mwingine. Hawa 12 walijaribu kuingia kupitia mpaka wa Lungalunga.

Wamepewa matokeo ya vipimo vyao na kuachiwa warudi kwao huko watajua wenyewe kama watafukiza, au waendelee kutema mbegu na kuambukiza zaidi. Lakini Kenya hawaingii wakiwa katika hiyo hali."
 
Wakuu statement hii inafikirisha:

"Majirani...hiki kitu kipo, chukueni tahadhari.... tukiwaachia muingie hivi hivi mtatumalizza, lazima mpimwe kila mmoja baada ya mwingine. Hawa 12 walijaribu kuingia kupitia mpaka wa Lungalunga.

Wamepewa matokeo ya vipimo vyao na kuachiwa warudi kwao huko watajua wenyewe kama watafukiza, au waendelee kutema mbegu na kuambukiza zaidi. Lakini Kenya hawaingii wakiwa katika hiyo hali."
 
Heading imekaa kimipasho..ina maana kati ya watu 57 wa Kenya waliopatikana na virusi, ulioona wanastahili kubeba kichwa cha habari yako ni hao 12 Innocent Tanzanian ambao wamebeba jukumu la kuwaletea chakula.
Hii kiburi yenu itawamaliza.
Kwa mujibu wa mchanganuo wao hao 12 wa tanzania hawamo kwenye otodha ya 57. Hao 57 ni wakenya tu!!
 
Back
Top Bottom