Madereva 12 wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na COVID-19

Madereva 12 wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na COVID-19

Lakini usifumbie macho ukweli kuwa Jana peke yake Kenya kulikuwa na wagonjwa wapya wa corona 49!

Haijatokea hata siku moja tukaficha data au kuogopa kukumbana na ukweli kama mnavyofanya, kusudi letu la kupima watu wengi kwa mkupuo ni ili ituwezeshe kupambana na adui ambaye tunamuelewa ametuathiri kiasi gani.

Hivyo hata leo tukiwa na maambukizi kwa watu 10,000 haitakua tishio maana tunajua waliko na tunawafuatilia, nyie hapo mumeingiwa uwoga na kujichokea, mumeacha watu waambukizane wakufa ajifie na wa kubaki hai atahadithia.
 
MK254 nikuulize, the so called partial lockdown mmemaliza Jana. Jana mlikuwa na wagonjwa wapya 49 leo mna wagonjwa wapya 57 (an increase of more than 10), kesho tutegemee around 70!! Hiyo partial lockdown ya kisanii imewasaidia nini?..
Wakenya akili wameshikiwa hawa. Partial lockdown inasaaidia nini kama Mchana watu wanajichanganya tu umeme hakuna maji hakuna chakula hakuna hata kunawa wanashindwa.
 
Ndio mko bize na kusema Tanzania ina wagonjwa na kujisahau kwenu huko kukoje!
Kazeni buti kupata takwimu msizozifanyia kazi!

Nakujibu kama nilivyomjibu mwenzako hapo juu. Haijatokea hata siku moja tukaficha data au kuogopa kukumbana na ukweli kama mnavyofanya, kusudi letu la kupima watu wengi kwa mkupuo ni ili ituwezeshe kupambana na adui ambaye tunamuelewa ametuathiri kiasi gani.

Hivyo hata leo tukiwa na maambukizi kwa watu 10,000 haitakua tishio maana tunajua waliko na tunawafuatilia, nyie hapo mumeingiwa uwoga na kujichokea, mumeacha watu waambukizane wakufa ajifie na wa kubaki hai atahadithia.
 
MK254 nikuulize, the so called partial lockdown mmemaliza Jana. Jana mlikuwa na wagonjwa wapya 49 leo mna wagonjwa wapya 57 (an increase of more than 10), kesho tutegemee around 70!
Wakenya akili wameshikiwa hawa. Partial lockdown inasaaidia nn kama Mchana watu wanajichanganya tu umeme hakuna maji hakuna chakula hakuna hata kunawa mikono wanashindwa
 
Magufuli si mnamuona fala? Mpaka muwe 100% positive
 
Safi sana sana.....wakirudi wapelekwe jamhuri ya watu wa chato
 
Nakujibu kama nilivyomjibu mwenzako hapo juu...
Haijatokea hata siku moja tukaficha data au kuogopa kukumbana na ukweli kama mnavyofanya, kusudi letu la kupima watu wengi kwa mkupuo ni ili ituwezeshe kupambana na adui ambaye tunamuelewa ametuathiri kiasi gani. Hivyo hata leo tukiwa na maambukizi kwa watu 10,000 haitakua tishio maana tunajua waliko na tunawafuatilia, nyie hapo mumeingiwa uwoga na kujichokea, mumeacha watu waambukizane wakufa ajifie na wa kubaki hai atahadithia.
Nairobi ina watu 4m+ kama mnapima watu wengi mmefika hata 1% ya wakati

Copy and paste itawagharimu


sana ndio maana sasa mmeanza na cases 50 per day. Mtaiponda Tanzania ila mwisho wa siku mtacopy approach ya Tanzania.

Angalia hii video hapo chini ujue Kosa la pili Kenya inaingia kufanya kwenye Majaribio ya Chanjo mtakayofanya
 
Safi sana sana.....wakirudi wapelekwe jamhuri ya watu wa chato
Mtu mzima kiasi cha kumudu kuendesha Lori hadi boda. hana dalili za COVID 19, hata kama akiwa positive hakuna Tatizo, kwetu huyo ni mzima na ataendelea kuchapa kazi huku akichukua tahadhari ya kutoambukiza au kuambukizwa!! Vipimo vitakavyofuata vitakuwa negative!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mzima kiasi cha kumudu kuendesha Lori hadi boda. hana dalili za COVID 19, hata kama akiwa positive hakuna Tatizo, kwetu huyo ni mzima na ataendelea kuchapa kazi huku akichukua tahadhari ya kutoambukiza au kuambukizwa!! Vipimo vitakavyofuata vitakuwa negative!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa......wekeni vipimo boda wapime kabla hawajavuka upande wa pili msilete visingizio vya kijinga na kitoto kabisa...
 
Hivi vikenya sijui ni viumbe vya namna gani, hilo suala kwamba madereva wote hao wana korona. Endeleeni na upuuzi wenu wa kutuchafua ila mtanyooka tu.
 
Hao wanatuchafua kidiplomasia tuonekane wabaya kwa mabeberu
Njia sahihi ya kujitangaza kufeli kwao Wakenya ni kuichafua Tanzania hawawezi ongea kitu bila Tanzania sema sisi Watanzania tunadharau na mapuuza ndio maana hatuangaiki nao wajinga hao maana njaa na madeni yanawakabili muda sio mrefu.

Mwakani tupo hapa hapa tutafahamishana njaa inawapiga kiasi gani kwa kufuata mkumbo wa wabaguzi wa rangi
 
thibutuuu umeme unatembea kama moto wa gesi[emoji23][emoji23]
Sasa wanajishaua Nini? Wanawafudisha wakiwa vitandanii wapo hoii au wanarudi wakiwa wazima? Madereva wangapi wamesha poteza maisha kwa c19 Kama sio shobo za kujikomba ili wakope
 
Hali h
Haijatokea hata siku moja tukaficha data au kuogopa kukumbana na ukweli kama mnavyofanya, kusudi letu la kupima watu wengi kwa mkupuo ni ili ituwezeshe kupambana na adui ambaye tunamuelewa ametuathiri kiasi gani. Hivyo hata leo tukiwa na maambukizi kwa watu 10,000 haitakua tishio maana tunajua waliko na tunawafuatilia, nyie hapo mumeingiwa uwoga na kujichokea, mumeacha watu waambukizane wakufa ajifie na wa kubaki hai atahadithia.
Hali haiko vibaya kama watu wanavyodanganyana mitandaoni. Kwanza there is no fear at all!! Lakini Rais Magufuli mtu ambaye anadhani hali yetu ni mbaya anakaribishwa aje ajionee.

Huku mitandaoni watu wanadanganyana eti kuna vifo vingi serikali inaficha. Hakuna kitu kama hicho.

Huku kwetu mgonjwa wa COVID 19 akafariki ndugu zake na majirani zake wamamzika kama kawaida, hakuna siri. Ingekuwa serikali inazika labda mtu angesema wamezikwa watu wengi.
 
Njia sahihi ya kujitangaza kufeli kwao wakenya ni kuichafua tz hawawezi ongea kitu bila tz sema sisi was tz tunadharau na mapuuza ndio maana hatuangaiki nao wajinga hao maana njaa na madeni yanawakabili muda sio mrefu. Mwakani tupo hapa hapa tutafahamishana njaa inawapiga kiasi gani kwa kufuata mkumbo wa wabaguzi wa rangi
Hapo kwenye njaa watakoma kuringa, hatupeleki msosi kwao
 
Mimi binafsi sijapenda handling ya hili suala la corona nchini mwangu. Kabisa. Ni vurugu mwanzo mwisho. Hakuna mikakati ya maana.

On the other hand, Kenyans the way you are handling this corona thingy on the Tanzania borders to me is purely political. Yes we have our own chaotic way we handle this pandemic but on the other hand you seem to lie on the number of positive cases when you take covid tests on Tanzanian drivers.

This I'm sure is done on purpose to show how badly our country is performing when it comes to handling the crisis.

Remember those drivers they have families to feed. Giving them false results and sending them back to Tanzania is not ethical at all. They become victims of your political games you are trying to play on us.

Stop this nonsense. The drivers in one way or the other they are delivering services which I believe you lack in your country because we depend on each other as neighbors.

It will be acceptable if your government declares borders are closed so everyone knows they are closed instead of letting people come all the way there and start humiliating them with your political games by declaring everyone of them covid positive.

Stop this nonsense.
 
Kenya has recorded 57 new coronavirus cases marking the highest single-day Covid-19 infections recorded so far in the country...
CORONA IPO TU, HOFU YENU ITAWAUA NA WALA SIO CORONA
 
Majirani...hiki kitu kipo, chukueni tahadhari.... tukiwaachia muingie hivi hivi mtatumalizza, lazima mpimwe kila mmoja baada ya mwingine. Hawa 12 walijaribu kuingia kupitia mpaka wa Lungalunga...
Cha ajabu ni kwamba pamoja na lock down na baba yake lock down curfew,lakin kirusi kimedinda.

Endeleeni kujifungia mpaka mpaka December,sie tunaanza kupikea watalii muda wowote kuanzia june
 
KAMa kaweza kwenda mbaka kenya akiwa na nguvu, bax nidhahiri shairi korona virus is not a threaten disease in tanzania, so kenya endleeni kuwa waoga sisi 2nachapa kazi. hapa kazi tu!

ost: 35394187, member: 142457"]
Kenya has recorded 57 new coronavirus cases marking the highest single-day Covid-19 infections recorded so far in the country.

In a statement issued on Sunday, Government Spokesperson Col. Cyrus Oguna said 2,198 samples had been tested out of which 57 people tested positive, bringing the total number of positive cases in Kenya to 887.

The distribution of the cases by counties is as follows: Mombasa (35), Nairobi (17), Kajiado (3), Kwale (1) and Kitui (1).

“Thirty-four of the positive cases are males, and 23 are females. The youngest of the cases is two years old while the oldest is 61 years. Cumulatively, we have so far tested 43,712 samples,” adds the statement.

In Mombasa, the 35 cases are distributed in the following estates; Mvita (22), Likoni (4), Changamwe and Nyali have three cases each, Kisauni (2) and Jomvu one case.

In Nairobi, the 17 cases are distributed in the following estates; Kibra (9), a mandatory quarantine centre in Nairobi two cases, and Eastleigh two cases. Aga Khan Hospital, Kamulu, Dandora and Pangani have one case each.

Kwale has one case in Msambweni, Kitui has one case in Mwingi Town, while the three in Kajiado are from Kajiado central (2) and Kajiado North with one case.

Meanwhile 12 individuals, all being Tanzanian truck drivers, have also tested positive for the virus.

According to the government , 11 of them tested positive at Lunga Lunga Border and one at Taveta Border and were all referred back to Tanzania.

12 patients have since been discharged from hospital, bringing the total number of people who have so far recovered from coronavirus to 313, while those that have succumbed to the disease remain at 50.

Source: Citizen TV

======

Majirani...hiki kitu kipo, chukueni tahadhari.... tukiwaachia muingie hivi hivi mtatumalizza, lazima mpimwe kila mmoja baada ya mwingine. Hawa 12 walijaribu kuingia kupitia mpaka wa Lungalunga.

Wamepewa matokeo ya vipimo vyao na kuachiwa warudi kwao huko watajua wenyewe kama watafukiza, au waendelee kutema mbegu na kuambukiza zaidi. Lakini Kenya hawaingii wakiwa katika hiyo hali.
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom