Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sakata la madereva wa bajaji jijini Mbeya limechukua sura mpya baada ya madereva 19 kuhukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amethibitisha kuwa madereva hao walikamatwa baada ya kukaidi agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Jumanne Sagini lililowataka kuzingatia mpango mpya wa usafiri uliolenga kupunguza msongamano na kuboresha mpangilio wa shughuli za usafiri jijini humo.
Soma Pia:

- RC Mbeya : Hakuna aliyezuia waendesha Bajaji wasitumie barabara kuu, tulitaka kuwapanga vizuri
- Vurugu Mbeya: Waendesha bajaji wagomea agizo la Mkuu wa Mkoa kubadilishiwa ruti