Sakata la madereva wa bajaji jijini Mbeya limechukua sura mpya baada ya madereva 19 kuhukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amethibitisha kuwa madereva hao walikamatwa baada ya kukaidi agizo la...
Kuna taarifa za kuwepo kwa vurugu zinazohusisha madereva wa bajaji jijini Mbeya wakipinga maelekezo ya Serikali ya kupangiwa ruti nyingine ambazo haziingiliani na daladala.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, mgogoro ulitokana na kuingiliana kwa njia za bajaji na daladala.
Video zilizosambaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.