GE2025 Madereva bodaboda Dar es salaam: Tuko tayari kutiki Oktoba 29 na tutawabeba bure watakaoenda kupiga kura

GE2025 Madereva bodaboda Dar es salaam: Tuko tayari kutiki Oktoba 29 na tutawabeba bure watakaoenda kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Shirikisho la madereva pikipiki wa mkoa wa Dar es salaam(SHIVYAMAPIDA)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wametambulisha kampeni yao mahsusi kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumuunga mkono mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan

Kampeni hii inayobeba kaulimbiu "SAMIA NI TUMAINI LA USHINDI"inalenga kuonesha mshikamano,matumaini mapya,na imani ya wananchi Kwa uongozi wa awamu ya sita.Ni kampeni ya kuenzi kazi anayofanya Dkt.Samia katika kuijenga Tanzania mpya yenye uchumi wa kisasa,fursa za ajira Kwa vijana na maendeleo katika sekta muhimu kama elimu,Afya,miundombinu na usafishaji


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kila siku nasema wajinga ni wengi sana nchi hii.
Ila tunaandelea kuomba Mungu waendelee kuisha kabisa ..hao asilimia kubwa hawana elimu..unaweza kumpa elfu kumi tu na akafanya chochote unachotaka afanye ..au ukampa ofa ya kvant ama highlife ama chibuku ama konyagi basi umemalizaa
 
Hawa vichaa wameridhika na ulofa wao
Ukiyaelewa makundi ya waTanzania utaelewa ni kwanini ni ngumu mno kupata waandamanaji. Unakuta Kuna kitu cha kupoteza anahofia.
Mfano kundi la bodaboda, kwa siku mzunguko wa elfu ishirini hadi hamsini wengine mpaka laki, anaona ana cha kupoteza. Kundi Hatari ni graduates wasio na Kazi.
 
Ila tunaandelea kuomba Mungu waendelee kuisha kabisa ..hao asilimia kubwa hawana elimu..unaweza kumpa elfu kumi tu na akafanya chochote unachotaka afanye ..au ukampa ofa ya kvant ama highlife ama chibuku ama konyagi basi umemalizaa
Kila siku wanazaliwa wajinga wapya
Bila kupambana hatutoboi!
 
Back
Top Bottom