Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
boda boda yako wewe ya wazinzi tuu yaniMimi huwa naanza kazi saa12 hadi 4 usiku. Kazi ni kuhamisha wateja toka guest au bar kwenda nyingine.
Boda boda wanaongoza Sana kwa kula kina mama na dada zetu,,,, na waliwe tu hakuna namna, kwani wamebakwa ???
Sent using Jamii Forums mobile app