Madereva bodaboda tunaopakia warembo tupeane uzoefu

Madereva bodaboda tunaopakia warembo tupeane uzoefu

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Wakuu,

Kama mnavyojua hii job yetu hii inatupa fursa sana ya kupakia warembo wengi WA rika mbalimbali.

Na kuna wengine wanatuzoea na kutuomba namba za simu ili tuwapeleke sehemu mbalimbali.

Miongoni mwa faida tunazozipata ni kuwa na wateja wa kudumu kwa muda fulani,
Ila kuna wakati maelewano yanakomaa na tunajikuta tunapewa "bumunda",
Tena wana wanadufua "bumunda" la mrembo aliyejazia na kufungashia, ambaye hauamini kabisa, yaani unadufua bure kabisa.

Hivyo bodaboda tunaopakia wanawake warembo wa rika mbalimbali tukutane hapa ili tupeane uzoefu, mbinu na changamoto za job yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa naanza kazi saa12 hadi 4 usiku. Kazi ni kuhamisha wateja toka guest au bar kwenda nyingine.
 
Ok...

Naona uzi za mabodaboda zinatrend.

Ujumbe hasa ni nyie kula wake zetu.

Sawa . Tunskubali mnawala.

Je ! Mnavyowala wanawaambia mapungufu yetu!?? Au mmewahi kuwauliza kwanini wamewapa!?

Nasubiri majibu.
 
kwa uzi huu unaonyesha boda boda wanaongoza kwa kuwala malaya wa jiji... kwahiyo boda boda wengi washakanyaga umeme..!!!
 
Back
Top Bottom