johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila mtu huwa analipa Kodi hadi mtoto mchangaTuwe wazalendo. Tulipe kodi
Tuwe wazalendo. Tulipe kodi
Hapo lengo ni kuwasajili ili wawe wanalipa kodi
ā”ā¤Life belongs to all who struggle for itā¤ā”ā§
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasema yeye yupo wizara hiyo tangia 2083
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasema yeye yupo wizara hiyo tangia 2083
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataambiwa kulipia vitambulisho vya usajili,mapato mapatoWaziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini.
Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa mafunzo maalumu.
Hii yote ni katika kuboresha Huduma ya usafiri wa abiria ambapo hata sheria ya usafiri wa bajaj na bodaboda itaboreshwa, amesisitiza waziri.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Muambieni huyo waziri wenu asiye mbunifu.Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini.
Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa mafunzo maalumu.
Hii yote ni katika kuboresha Huduma ya usafiri wa abiria ambapo hata sheria ya usafiri wa bajaj na bodaboda itaboreshwa, amesisitiza waziri.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ukweli mtupu.Muambieni huyo waziri wenu asiye mbunifu.
1. Aboreshe usafiri wa mwendokasi kwanza.
2. Akachukue yale mabasi yanayoendelea kuoza pale Ubungo ICD yaongeze nguvu kwenye mwendo kasi.
3. Serikali na TRA wafahamishwe kwamba yale mabasi yaliyoletwa yaliyo pale ICD hayauziki kwenye mnada hata wauze milioni ishirini.
4. Mwambieni huyo waziri maana najua haya jf haijui kwamba atamfundisha dereva wa daladala kitu gani au matusi gani asiyoyajua. UDA imekufa daladala zimeimarika wakati barabara na abiria ni walewale isitoshe kila daladala ilikua ikiilipa UDA kwa matumizi ya vituo.
Itaendelea kwani nimepata hasira sana. Daladala ndio tumpe waziri mafunzo sio waziri atupe sisi elimu.
Boresheni mwendokasi.
Itaendelea.........
Nchi imekombwa hakuna fedha kilichobakia ni kuwakamua wauza kahawa tu
wewe ndiye Gavana wa BOT mkuu?Nchi imekombwa hakuna fedha kilichobakia ni kuwakamua wauza kahawa tu