Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

Tuna mambo mengi sana ya kufikiri na kutenda zaidi ya hili..tuwe makini sana na aina ya watu tunaowapa nyadhifa za uongozi...
 
Umeongea vizurisana, hayo mashirikayao yote yako hoi, daladala wanajiendesha wenyewe kwa mipangoyao na wanalipa kilakiti lakini wamedumu kwa miaka yote na wapo imara sana.

Huyu anataka kufanya kazi ya daladala kuwa ngumu tu, wewe huja kasirika kama mimi mkuu.

Kama anataka kuboresha daladala atupe njia ya mwendo kasi aone kama kuna wananchi watapata tabu kama wanayo pata sasaivi na haya ma basiyao. Chukia sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva alisoma vets ndio akapewa leseni C kavu ya kubeba abiria akasome Tena masters ya udereva, au? Konda akisoma bila mmiliki kusoma shida iko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…