Madereva wa bajaji wafunga stendi ya Nyegezi baada ya madai ya kuzuiwa kubeba na kushusha abiria nje ya stendi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Madereva wa bajaji wamefunga stendi ya Nyegezi, jijini Mwanza, hali iliyosababisha kusitishwa kwa shughuli za usafiri ambapo hakuna gari linaloingia wala kutoka. Tukio hili limetokea baada ya madai kuwa baadhi ya migambo walitumika kuwanyanyasa madereva na kuzuiwa kubeba na kushusha abiria nje ya stendi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…