samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
kama hili la kutoa mlio wa kupasuka kama bomu au risasi inaudhi sana na usalama barabarani wanaliona hilo kabisa3. Siku hizi wakipewa tu hizo bodaboda za mikataba, wanazitoa zile side mirrors (sight mirror 🙄)!! Sasa sijui huwa wanawaza nini hawa viumbe, kuendesha pikipiki bila ya hivyo vioo vya pembeni!
4. Kuweka vyuma kwenye lile bomba la kutolea moshi, halafu pikipiki inatoa mlio mkubwa kuliko! Yaani wakipita sehemu ni kero tupu!
NB: Ukiona bodaboda kanyoa kiduku, hajavaa helmet, pikipiki yake haina side mirrors, pikipiki yake ina makelele kupitiliza akivuta mafuta, na pia anapenda kuning'iniza kandambili/yeboyebo za kimguu chake cha kushoto aendeshapo hiyo bodaboda yake! Kamwe usijaribu kupanda kama una akili timamu.
hujapata ajali ya kuwahusu hao ndio utajua wanafurahishaWanafurahisha sana...
khaa sa itakuwaje kama una dharura si itabidi uite bodaUkipata ajali kwenye boda uwezekano wa kufa au kuvunjika ni mkubwa, binafsi sizipendi. Mpaka leo sitaki hata kujifunza kuendesha.
Siku ukivunjika mguu utaita gari.khaa sa itakuwaje kama una dharura si itabidi uite boda
maeneo kama hakuna gari au kwa kuwa unaishoi mjiniSiku ukivunjika mguu utaita gari.
Hua wanabinua vitako sijui matako...hujapata ajali ya kuwahusu hao ndio utajua wanafurahisha
maeneo kama hakuna gari au kwa kuwa unaishoi mjini
Nipo bush huku, hapa navyoongea wiki iliyopita tumezika kijana wa miaka 20 na kuna mtoto kagongwa kavunjika miguu huyo boda mbavu zimevunjika,maeneo kama hakuna gari au kwa kuwa unaishoi mjini
Unakimbia.Ni mazoezi.khaa sa itakuwaje kama una dharura si itabidi uite boda