Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Nakupa wazo lovieNi sawa ulivyosema lakini kumwambia konda au dereva kwamba unavyofanya hivyo siyo vizuri unadhani itasaidia?? Maana ukimwambia konda wa buguruni wachanika nae anafanya yaleyale....
Mi naona tu ni mamlaka husika kuingilia kati ili kuwasaidi hawa watoto nadhani SUMATRA WAPO HUMU UJUMBE UMEFIKA
Tengeneza vipeperushi vya kuzuia tabia Kama hyo kwa makondakta then kakae stendi kila abiria wa kila gari mpe kipeperushi hicho then atakakoshukia na yeye atampa abiria wa huko then kwa kiasi flan utakuwa umetoa tatzo na soln kwa siku moja ....sasa usiniulze utaweza kweli ama la! Ukiamua unaweza.....kila anaepanda gari baada ya mwezi mmoja atakuwa anajua wanachofanyiwa watoto wa shule ...lkn pia watoto wngne huwa wanapenda kukaa juu ya barabara ikifika jion ama usku wanaanza kuomba eti wameishiwa nauli kumbe walkuwa wanachezea mda