Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Kuna siku natoka mbweni - makumbusho, mvua inanyesha wanafunzi wanajaribu kiungia konda anawazuia. Watoto wa dsm wanatesrka sana katika usafiri. Unakuta mtoto anaingia kwenye gari saa tano anaenda shule hadi unajiuliza sasa hivi anakwenda kusoma nini.
Halafu na nyie mijanaume ya mikoani iliyokwenda dar kumsalimia dada yake aliyeolewa na mwalimu, mbaya zaidi analala sebuleni mnamuangalia tu konda anasukuma wanafunzi kwenye mvua, lenyewe limejificha kwenye siti linatuma sms kwa dadake asifunge mlango, yaani basi zina mnamshindwa konda mmoja? Mods piga ban huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom