Halafu na nyie mijanaume ya mikoani iliyokwenda dar kumsalimia dada yake aliyeolewa na mwalimu, mbaya zaidi analala sebuleni mnamuangalia tu konda anasukuma wanafunzi kwenye mvua, lenyewe limejificha kwenye siti linatuma sms kwa dadake asifunge mlango, yaani basi zina mnamshindwa konda mmoja? Mods piga ban huyuKuna siku natoka mbweni - makumbusho, mvua inanyesha wanafunzi wanajaribu kiungia konda anawazuia. Watoto wa dsm wanatesrka sana katika usafiri. Unakuta mtoto anaingia kwenye gari saa tano anaenda shule hadi unajiuliza sasa hivi anakwenda kusoma nini.
Sent using Jamii Forums mobile app