Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Ni sawa ulivyosema lakini kumwambia konda au dereva kwamba unavyofanya hivyo siyo vizuri unadhani itasaidia?? Maana ukimwambia konda wa buguruni wachanika nae anafanya yaleyale....
Mi naona tu ni mamlaka husika kuingilia kati ili kuwasaidi hawa watoto nadhani SUMATRA WAPO HUMU UJUMBE UMEFIKA
Nakupa wazo lovie
Tengeneza vipeperushi vya kuzuia tabia Kama hyo kwa makondakta then kakae stendi kila abiria wa kila gari mpe kipeperushi hicho then atakakoshukia na yeye atampa abiria wa huko then kwa kiasi flan utakuwa umetoa tatzo na soln kwa siku moja ....sasa usiniulze utaweza kweli ama la! Ukiamua unaweza.....kila anaepanda gari baada ya mwezi mmoja atakuwa anajua wanachofanyiwa watoto wa shule ...lkn pia watoto wngne huwa wanapenda kukaa juu ya barabara ikifika jion ama usku wanaanza kuomba eti wameishiwa nauli kumbe walkuwa wanachezea mda
 
Unataka nini kama samahani hutaki! !? Kiss au
[emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu usiniambie samahani bwana...
Sijui huwa najisikiaje
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huku niliko sasa sijaona tabia kama hizo nikiona nitajitahidi kufanya km nitaweza
Nakupa wazo lovie
Tengeneza vipeperushi vya kuzuia tabia Kama hyo kwa makondakta then kakae stendi kila abiria wa kila gari mpe kipeperushi hicho then atakakoshukia na yeye atampa abiria wa huko then kwa kiasi flan utakuwa umetoa tatzo na soln kwa siku moja ....sasa usiniulze utaweza kweli ama la! Ukiamua unaweza.....kila anaepanda gari baada ya mwezi mmoja atakuwa anajua wanachofanyiwa watoto wa shule ...lkn pia watoto wngne huwa wanapenda kukaa juu ya barabara ikifika jion ama usku wanaanza kuomba eti wameishiwa nauli kumbe walkuwa wanachezea mda
 
[emoji2][emoji2][emoji2]na wasiwasi na wewe utakuwa wa kanda ya kaskazini.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nilimaanisha kuwa hupaswa kuniambia samahani kwa sikuona kama kuna sehemu ulinikwaza. Kuhusu kiss hapana, bora kofi la uso.[emoji41]
 
Kwa mtazamo wangu Nafikiri bado tuna akili za kisoshalisti katika ulimwengu wa kibepari,sheria inamtaka abebe idadi kadhaa ya wanafunzi na huwa wanafanya hivo,sasa tunataka ajaze wanafunzi halafu yeye atapeleka nini sheli na kwa tajiri Jioni?au watoto wake watakula nini na kuishi vipi mjini?
Tunakuwa wepesi kuhukumu Kwasababu hatujavaa viatu vyao.Ningeshauri wewe ambaye ana huo utu Ukiona kondakta ameshazuia baada ya kadhaa kuingia,mwambie kondakta aongeze angalao watatu utawajazia wewe hizo 200.

Ni watanzania wangapi wana magari binafsi na wanapita vituoni wakiwa tupu anaona wanafunzi wamejazana lakini hawatoi lift kwa wanafunzi?hao hatuwaoni tunakomaa na makondakta.
 
Kweli mkuu, coz kuna gharama za mafuta, hesabu ya bosi, mara faini ya askar, mara mapato tra,n.k
Hii ni biashara ka zilivyo nyingine,na ndo maana analipia mapato tra, kuomba kibali sumtra n.k, ivyo naye anataka faida.
 
Mkuu siku hizi hiyo shida imepungua sana makonda wanawabeba sana tu wanafunzi labda wamebaki wachache tu wenye roho hizo

Na imepungua kwa sababu makonda wengi ni vijana ambao aidha waliishia la saba au form 4 kwenye shule hizi za kata na hawakuendelea kwa hiyo wanajua adha wanazopitia wenzao, gari nyingine ile siti ya mwisho wanawakalisha wanafunzi kwa kubebana
 
Ulichokiandika ni Cha ukweli mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie watu wa dar mmezidi mtu anakaa goba anamuanzisha mtoto shule buguruni, kitoto saa kumi kiko macho kama chaenda kuwanga.
 
Back
Top Bottom