Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Halafu na nyie mijanaume ya mikoani iliyokwenda dar kumsalimia dada yake aliyeolewa na mwalimu, mbaya zaidi analala sebuleni mnamuangalia tu konda anasukuma wanafunzi kwenye mvua, lenyewe limejificha kwenye siti linatuma sms kwa dadake asifunge mlango, yaani basi zina mnamshindwa konda mmoja? Mods piga ban huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…