Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 594
Uzi mkali kwa sisi watu wa F1
Kuna vitu nilikua sijui ila hapa Sasa nimejua
Kuna vitu nilikua sijui ila hapa Sasa nimejua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaah ile kitu km mpira tuLeo nimejifunza kitu, napendaga sana kuangalia F1 ila nilikuwa natoka tupu;
mfano swala la kukusanya point lilikuwa linanivuruga sana unakuta sir Hamilton kwenye list yupo hata nafasi 6 ila unaambiwa anaongoza, Mimi nshazoea aliye mbele kuliko wote ndiyo mshindi kumbe mambo yanenda tofauti🙏
kabisa kama hapa nimepata hamasa zaidi ya kufwatilia, 🙏Ewaah ile kitu km mpira tu
Yeah Ferrari mtakua na nafasi nzuri sana next sessionMashindano ya Langalanga, nikikosa kuangalia kwenye TV huwa ninafuatilia kwenye simu, team yangu Ferrari bado haijakaa vizuri sana, ila mategemeo ni makubwa msimu ujao maana Lewis Hamilton atakuwa na Charles kupambania team, acha tuone itakuwaje.
Sainz nilikuwa ninamkubali zaidi ya Charles, ila ana shida ya kutotulia., hachelewi kutomaliza race, ameenda zake Williams ila poa tu.
Kwa hiyo hii Haina kipaji Cha kuanza ukubwani?!Hahahaa ukiwa na swali uliza, wadau watajibu.
Huenda ndie sie kabisa .Umedadavua vizuri sana. Una kipaji cha kuelekeza. Mpaka umenifanya nikuhisi ni mtu flani (mkufunzi wa NIT)😁
Ila hawa madereva wanateseka sana asee.Kama hauna ata ABC ya kuendesha, nadhani haiwezekani. Kila dereva ukifuatilia historia yake alianza utotoni. Labda wengine ambao sijawahi fuatilia usikute wapo walioanzia 20s.