Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

Leo nimejifunza kitu, napendaga sana kuangalia F1 ila nilikuwa natoka tupu;

mfano swala la kukusanya point lilikuwa linanivuruga sana unakuta sir Hamilton kwenye list yupo hata nafasi 6 ila unaambiwa anaongoza, Mimi nshazoea aliye mbele kuliko wote ndiyo mshindi kumbe mambo yanenda tofautiπŸ™
 
Ewaah ile kitu km mpira tu
 
Umedadavua vizuri sana. Una kipaji cha kuelekeza. Mpaka umenifanya nikuhisi ni mtu flani (mkufunzi wa NIT)😁
 
Mashindano ya Langalanga, nikikosa kuangalia kwenye TV huwa ninafuatilia kwenye simu, team yangu Ferrari bado haijakaa vizuri sana, ila mategemeo ni makubwa msimu ujao maana Lewis Hamilton atakuwa na Charles kupambania team, acha tuone itakuwaje.
Sainz nilikuwa ninamkubali zaidi ya Charles, ila ana shida ya kutotulia., hachelewi kutomaliza race, ameenda zake Williams ila poa tu.
 
Yeah Ferrari mtakua na nafasi nzuri sana next session
 
Kama hauna ata ABC ya kuendesha, nadhani haiwezekani. Kila dereva ukifuatilia historia yake alianza utotoni. Labda wengine ambao sijawahi fuatilia usikute wapo walioanzia 20s.
Ila hawa madereva wanateseka sana asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…