Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

Abiria panda gari zingine, zinazoendana na speed unayoitaka!
Zipo nyingi Sana route ya Mbeya,
New Force, Kilimanjaro, Abood, Kyela Express n.k

Kung'ang'ana kupanda Saul ni upuuzi!
Sauli ina watu wake special hawana hofu, WANAOKAA ndani, kuchimba dawa hawanunui chakula kinaigiziwa Kwa mama lishe njiani pale kabla ya Kitonga msosi unapokelewa!
 
Haah! same comment, same moment different maneno tu
 
Umeandika kiumbeya umbeya sana
 
Akienda kushtaki polisi atalipwa pesa ndefu..

Kiukweli ajali ingetokea mda huu usingekuwa usingepata time ya kupost hapa.

Mimi nadhani abiria wanatakiwa wapate hiyo App..
Inaitwaje mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uendeshaji mbaya wa gari moja unaweza kupelekea maafa kwa watumiaji wengine wa barabara, labda useme sauli watengenezewe kanuni zao na barabara zao wenyewe ili watumiaji wengine wa barabara wasizurike- Simple as that.
 
Naunga mkono. Mbona hatusikii pande nyingine zilisemaje mfano abiria wenzake, mashuhuda, polisi, nk. Nahisi hii ni watu wa hiyo kampuni tu wanajaribu kufanya PROMOSHENI ya mabasi yao.
Mkuu, kuna ajali nyingi sana za mabasi huko mabarabarani zinatokea kila siku na huwezi kusikia polisi au vyomb vya habari wakiziongelea hata kidogo, mfano ajali ya Super feo, ambayo ilikuwa reported humu kwenye forum na mmoja wa abiria, pengine kuna uwezekano wa rushwa kwa sehemu fulani. Hizi sauli zinapata sana ajali na ni mara chache sana kusikia zikitangazwa- Mf. Ajali ya sauli kibaha
 
Mkikikata roho
Mnasema kazi ya
Mungu siyo

Ova
 
Kama unamjuwa huyo jamaa aliyefanyiwa kitendo hicho
Njoo pm mzee
Hiyo hela anakula na kuwakomesha hao wenye bus

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…