Imaniyanguitaniponyatu
Member
- Aug 23, 2021
- 54
- 87
Wewe umeambiwa hautakufa, Au wewe ni msaidizi wa mwenyezi Mungu hapa duniani?Ndomana mnakufa kama inzi
Kikichobaki ss mzikwe km mizoga tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeambiwa hautakufa, Au wewe ni msaidizi wa mwenyezi Mungu hapa duniani?Ndomana mnakufa kama inzi
Kikichobaki ss mzikwe km mizoga tu
Ova
Hili taifa lina baadhi ya watu wa ajabu sana, exceptionality ya SAULI inatokea wapi? SAULI kama mabasi mengine wanapaswa kufuata sheria. Kuna habari moja niliisikiliza ITV mwaka huu iliniumiza sana- Kuna abiria ambaye ni mama wa makamu kidogo, walipokuwa njiani aliona mwendo wa dereva siyo sahihi akaamua kumfuata dereva kumwambia, dereva apunguze mwendo,dereva na abiria wenzake wakamtukana sana, haikupita five minutes gari ikapata ajali dereva akafariki palepale na baadhi ya abiria, na wengine kupata majeraha akiwemo huyu mama wa makamu aliyepoteza mkono mmoja wa kulia. Kila nikiikumbuka sana hii story huwa na kosa manenoHao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?
Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Unaitaka.?Akienda kushtaki polisi atalipwa pesa ndefu..
Kiukweli ajali ingetokea mda huu usingekuwa usingepata time ya kupost hapa.
Mimi nadhani abiria wanatakiwa wapate hiyo App..
Inaitwaje mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Uhai ni zawadi inatolewa kwa hisani ya Mwenyezi Mungu, kwa huruma yake yeye, Na pia Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na rehema amempa mwanadamu wajibu wa kuulinda na kuutunza uhai huo kama zawadi kupitia akili na utashi. Mwenyezi Mungu anapenda tuishi kwa kuwajibika na siyo kiholelaholela.Wewe umeambiwa hautakufa, Au wewe ni msaidizi wa mwenyezi Mungu hapa duniani?
Hapana kaka, kasema speed meter ilikuwa inasoma 115 KPH na zaidi, ambayo ni kinyume cha sheria ya usalama wa barabarani.Hii ni below 80KPH
Barabara kama inaruhusu yanapaswa kutembea zaidi ya hiyo. Kumbuka mabasi ni kwa ajili ya kuchaniza mikoa na mikoa, mengine mwanzo wa nchi hadi mwisho and beyond!Mabasi yanapaswa kutembea 80KPH
Nyie ndio mnaokufaga kizembe akili kisodaAache ujinga na umbeya,speed ya kawaida hiyo ,Kwa hiyo ndege ya ardhini
Upungufu wa akili tu. Ndio maana kila kukicha mnachijwa barabarani. Kwa akili hizi sioni taifa likisonga mbele.Barabara kama inaruhusu yanapaswa kutembea zaidi ya hiyo. Kumbuka mabasi ni kwa ajili ya kuchaniza mikoa na mikoa, mengine mwanzo wa nchi hadi mwisho and beyond!
Nguvu mnazotumia kubania spidi bora mngedili na mambo mengine kama kuhakikisha barabara na service na utaalamu wa madereva kuendana na mwendo wa kasi kadri inavyohitajikaView attachment 2258192
Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.
Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)
Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.
Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa,ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.
Baada ya muda walimuachia abiria uyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.
Kutokana na taarifa iyo inaonyesha ukanda huo Dar mpk tunduma kumekua na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
Hakuna nchi ambayo haina speed limit kwa mabasi duniani, na speed limit kuwekwa kwendana na aina ya magari ina sababu zake-na wala haijawekwa tu kumfurahisha mtu.Barabara kama inaruhusu yanapaswa kutembea zaidi ya hiyo. Kumbuka mabasi ni kwa ajili ya kuchaniza mikoa na mikoa, mengine mwanzo wa nchi hadi mwisho and beyond!
Nguvu mnazotumia kubania spidi bora mngedili na mambo mengine kama kuhakikisha barabara na service na utaalamu wa madereva kuendana na mwendo wa kasi kadri inavyohitajikaView attachment 2258192
Bei ya kioo utaiwezaHao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?
Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Braza kumbuka ni akili kubwa ndo zenye uwezo wa kung'amua kuwa kil mmoja anayo mahitaji yake binafsi.Upungufu wa akili tu. Ndio maana kila kukicha mnachijwa barabarani. Kwa akili hizi sioni taifa likisonga mbele.
Mbio kwani rally hiyo? We unaijua mbio? Acheni ulimbukeni kwenye maisha ya watu. StupidHuyo abiria nae hana akili kama ataki mbio si apande mabus ya Harusi yanajulikana. Yaani upande basi la wafanyabiashara then utake speed ya Harusi
Kabla ya kukata tiketi jua sifa ya bus au kampuni.Mbio kwani rally hiyo? We unaijua mbio? Acheni ulimbukeni kwenye maisha ya watu. Stupid
Braza kumbuka ni akili kubwa ndo zenye uwezo wa kung'amua kuwa kil mmoja anayo mahitaji yake binafsi.
Ameandika meter siyo KPHHapana kaka, kasema speed meter ilikuwa inasoma 115 KPH