Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Pia wewe utakufa kizembe Kwa Kununua wa kimbokaNyie ndio mnaokufaga kizembe akili kisoda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wewe utakufa kizembe Kwa Kununua wa kimbokaNyie ndio mnaokufaga kizembe akili kisoda
Last week nilitoka Mbeya kuja Dar, nilikuwa naendesha gari dogo, nilikuwa speed 130km/hr but bus la Saul lilinipita ningali mwendo huo.Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.
Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)
Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.
Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa,ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.
Baada ya muda walimuachia abiria uyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.
Kutokana na taarifa iyo inaonyesha ukanda huo Dar mpk tunduma kumekua na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
Wafanyabiashara ndio wale tulikuwa tunawaweka kwenye viroba juzi Mafinga kisa upuuzi huohuo. Mnakimbizwa bila sababu mnawahi kufanya biashara gani? Sasa wameacha biashara na kuacha familia zao kisa upuuzi huo huo. Ipo siku ya Sauli inakuja. Mtalia na kusaga meno endekezeni ujuha tu.Huyo abiria nae hana akili kama ataki mbio si apande mabus ya Harusi yanajulikana. Yaani upande basi la wafanyabiashara then utake speed ya Harusi
Alafu jamaa mwenyewe ana mabasi 7 tu. Anahonga sana matrafiki. Hakuna trafiki wenye njaa kama wa Mbeya- Dar. Buku buku zinawatoa utu. Madhara ya speed kubwa nimeyaona juzi Mafinga, tulipotoa na kuweka vipande vya miili ya marehemu kwenye viroba. Mungu atusaidie kwa kweli.MABASI YA SAUL NI MAJENEZA YANAYO TEMBEA... Nashangaa watu wanaendelea kuyapanda na ajali kila mwezi...
Umeandika kitu cha kijinga sana binti yangu. Wote tutakufa ila yakupasa uepuke vitu vingine. Kuna vifo vingine tunavitafuta. Kuna siku nilikutana na Sauli inashuka Kitonga kwa speed ya ajabu na anaoovertake bila umakini. Pale unajitafutia kifo mwenyewe.Wewe umeambiwa hautakufa, Au wewe ni msaidizi wa mwenyezi Mungu hapa duniani?
Nyie mnaepokea bukubuku mkipigiwa si mtamtaja kama mlivyomtaja huyo abiria. Hamuaminiki nyie, elfu moja moja zinawatoa utu.Ukiona gari linaendeshwa vibaya tupigie makao makuu ya traffic au hata sms kwa namba 0784688881 tutachukua hatua. au mtaarifu balozi yoyote wa RSA ikiwa ni pamoja na Mimi.
Hongera sana ngoja siku tuje kukusanya mabaki yako kwenye kifungashio cha 500. Wenzako juzi walikuwa wanapenda hivyo hivyo hakuna kulala za Mbeya Dar tunakusanya mabaki yao kwenye vifungashio pale Mafinga. Bado wewe, pendeni sifa tu.Mimi napenda basi linalokimbia sana
Huyo abiria siku ingine apande trekta litakaliendana na spidi yake atakavyo
Watu unataka kuwahi tuendako halafu mtu anataka dereva aendeshe basi mwendo wa konokono
wote wanaokufa sababu huwa ni basi kukimbia?Hongera sana ngoja siku tuje kukusanya mabaki yako kwenye kifungashio cha 500. Wenzako juzi walikuwa wanapenda hivyo hivyo hakuna kulala za Mbeya Dar tunakusanya mabaki yao kwenye vifungashio pale Mafinga. Bado wewe, pendeni sifa tu.
Kwa vile watu wote hawafi kwa malaria kwa hiyo hamna umuhimu wa kulala kwenye chandarua?wote wanaokufa sababu huwa ni basi kukimbia?
Wanaolala kwenye vyandarua Hawafi kwa malaria? Kwani mbu hushambulia mtu akilala tu nje akitembea Hawako au akikaa nje mbu huwa hawako?Kwa vile watu wote hawafi kwa malaria kwa hiyo hamna umuhimu wa kulala kwenye chandarua?
Sio wote.Nyie mnaepokea bukubuku mkipigiwa si mtamtaja kama mlivyomtaja huyo abiria. Hamuaminiki nyie, elfu moja moja zinawatoa utu.
Kwa hiyo unaona hamna umuhimu wa kulala kwenye chandarua? Unaonaje hospital tufugie kuku sababu kufa kupo tu, si ndio?Wanaolala kwenye vyandarua Hawafi kwa malaria? Kwani mbu hushambulia mtu akilala tu nje akitembea Hawako au akikaa nje mbu huwa hawako?
Unafikiri kwa kutumia makalioAbiria panda gari zingine, zinazoendana na speed unayoitaka!
Zipo nyingi Sana route ya Mbeya,
New Force, Kilimanjaro, Abood, Kyela Express n.k
Kung'ang'ana kupanda Saul ni upuuzi!
Sauli ina watu wake special hawana hofu, WANAOKAA ndani, kuchimba dawa hawanunui chakula kinaigiziwa Kwa mama lishe njiani pale kabla ya Kitonga msosi unapokelewa!
Na hicho kiungo kutakuwa makalio yangu!Unafikiri kwa kutumia makalio
Siku ukipoteza kiungo ndio utaelewa
Ajali kazini.Wafanyabiashara ndio wale tulikuwa tunawaweka kwenye viroba juzi Mafinga kisa upuuzi huohuo. Mnakimbizwa bila sababu mnawahi kufanya biashara gani? Sasa wameacha biashara na kuacha familia zao kisa upuuzi huo huo. Ipo siku ya Sauli inakuja. Mtalia na kusaga meno endekezeni ujuha tu.