Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

Ajali kazini.
Boda boda wangu alikuwa makini Sana barabara anaendesha kwa kufuata Sheria,lakini jana daladala imemfata pembeni ikamburuza ndo tumetoka kumsitiri mida hii.Hata wa mwendo wa harusi wanapata ajali
Kosa sio la bodaboda ni la huyo dreva wa daladala inaonekana alikuwa speed Kali,Sasa Kwa maoni Yako Kwa sababu bodaboda amekufa pamoja na kuwa makini Wewe unaona tuachane na umakini tujiendee tu Kwa sababu hata ukiwa makini utakufa?
 
Chuma ya masaa sana chini ya usimamizi wa Bob Dere Mwinuka T485 DXE G7 LA gharama.

Hayo magari ya Sauli tunapanda vijana wazee wapande Imani plus, Al saedy, Abood, Kilimanjaro, Saibaba, Happy nation au Tanzanite.

DRH Mbeya Boy
DPN Iache iende
DPC Escape plan
DTF Mjeshi
DWL Special order
DWF Serengeti boy/ Simbachawene
DXE La Gharama
 
Kosa sio la bodaboda ni la huyo dreva wa daladala inaonekana alikuwa speed Kali,Sasa Kwa maoni Yako Kwa sababu bodaboda amekufa pamoja na kuwa makini Wewe unaona tuachane na umakini tujiendee tu Kwa sababu hata ukiwa makini utakufa?
Umakini hauzui ajali
 
Hao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?

Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Nadhani walimuona kama boya Flani anawachelewesha kufika mapema zaidi so wameunga team Dereva
 
Moja yakitu nawakubali madereva wa abiria ni uchawa(ndumba) hawawezi shika usukani bila kujihakikishia atafika salama

Chini ya ule usukani kwa suka kule miguuni lazima Kuna kitu hua kinapumua pale au kwenyekiti chini
 
Inasikitisha sana
Ubongo wa Mwafrika . Mpaka apate ajali ndio akili imkae Sawa,kuchukua tahadhari hataki. Anakuambia kama siku yako imefika huwezi kuzuia
 
Endelea kushangalia siku utakapokatika kiwiliwili ndio utajua Mwendokasi sio mzaha
Huo ndio uchawi wenyewe sasa! Ni nani asiyejuwa Sauli ni bus lenye mwendo mkali kwa sasa? Si angepanda makobe kama Abood ili aupate mwendo anaoutaka.
 
Kwani alilszimishwa kupanda hiyo Gari....angepanda basi la [emoji3531]
 
Mtoa mada ni mnafiki na uongo wa hali ya juu umetumika,eti wanampiga na kumwambia why unappetizing maovu yetu?,kusafiri na bus hili ni hiari yako hakuna aliyemlazimisha kusafiri na Sauli, next time do me a favor nenda kapande Aboud, Sauli ina clients wake na service yake ni perfect
Acheni kuua watu kwa speed zenu
 
Dah. Pole sana kwake.

Nimejiuliza walivyomwambia awapatie simu; kwanini alikubali kuwapatia?

Kwanza hakupaswa hata kukubali agizo la Dereva la kwenda kukaa siti ya mbele ilhali ana siti yake alishaandikiwa toka mwanzo wa safari.

Ingelikuwa ni mimi basi wangelazimika kunipeleka Kituo cha Polisi na kisha Mahakamani ili Hakimu akanioneshe kifungu cha sheria kinachonilazimisha kukubaliana na kila takwa la Kondakta.

Ingawa huu uzi ukiutafakari kwa kina una mambo mengi ambayo hayasadifu ukweli..
 
halafu abiria hao hao wanaona mwenzao anaonewa wanakaa kimya....tena amereport mwendo kasi ikitokea ajali siku wakafa ndugu zao tunakuja kulaumu Polisi na Serikali...

Serikali ni mimi na wewe, sio kila mahala wapo polisi bali kuna sehemu nyingine sisi raia tunaweza kusimama kama mapolisi kujilinda na kulinda wengine...

Huyo Dereva naye ni fala sana, yaani anaona sifa kuendesha gari lina roho zaidi ya 50 kwa mwendo kasi na ajali ikitokea anakufa yeye na abiria huku Tajiri anayempa kiburi yuko zake anakula bata...

Hapo ndio shida ya Watanzania ilipo baadala ya kukaa kila siku na kuwalaumu waliopo Serikali na kuwaona wapumbavu ilihali wenyewe huku uraini wapumbavu tuko wakutosha..
 
Abiria Ni mpumbavu, unapokonywa simu wakati njiani Kuna police check points nyingi tu,ameshindwa kuwapelekea report
Hata mimi nimeshangaa kwakweli tena polisi ningewaeleza kisa kizima
 
Ujinga umerudi kwa aliyefanya kitu cha akili,
 
mie mwenyewe nina katabia kakutumia app ili kujua dereva anakwenda mwendo kasi gani na pia kuweza kufahamu tumebakiza masaa mangapi kumaliza safarii
 
Back
Top Bottom