ILLUMINATI RUMI
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 323
- 327
Kosa sio la bodaboda ni la huyo dreva wa daladala inaonekana alikuwa speed Kali,Sasa Kwa maoni Yako Kwa sababu bodaboda amekufa pamoja na kuwa makini Wewe unaona tuachane na umakini tujiendee tu Kwa sababu hata ukiwa makini utakufa?Ajali kazini.
Boda boda wangu alikuwa makini Sana barabara anaendesha kwa kufuata Sheria,lakini jana daladala imemfata pembeni ikamburuza ndo tumetoka kumsitiri mida hii.Hata wa mwendo wa harusi wanapata ajali