Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Huyo ABIRIA ni mjinga kupita abiria wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvuje kioo! Lazima namimi ningekuvunja shingo.Hao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?
Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Ah wapi. Sababu za kijinga zinazoua wengi. Kama umejisusa sawa . Mnatupia mpira kwingine. Ndio maana wazungu wanawadharau na kuwaona manyani ata reasoning hakuna.Pia wewe utakufa kizembe Kwa Kununua wa kimboka
Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.
Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.
Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.
Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)
Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.
Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa, ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.
Baada ya muda walimuachia abiria huyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.
Kutokana na taarifa iyo inaonesha ukanda huo Dar mpk Tunduma kumekuwa na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
Abiria wengine wanatumwa kuharibu biashara za watu, wewe unapanda Sauli unajua abiria wote wanataka kuwahi kufika hata mm sikubali huo ujinga kapande Mabasi yanayofika saa 4 usiku, mabasi sikuhizi hayakimbii sana unakuta mtu kakaa siti ya mwisho analalamika speed humps kwanini usikate itikiti mapema ukae siti za mbeleDereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.
Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.
Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.
Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)
Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.
Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa, ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.
Baada ya muda walimuachia abiria huyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.
Kutokana na taarifa iyo inaonesha ukanda huo Dar mpk Tunduma kumekuwa na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
Abiria wengine ni nuksi sana, hivi angekuwa anasafiri miaka ya nyuma kabla ya ving'amuzi angehimili Dar-Mbeya masaa 9:30 tu au Mwanza Dar masaa 12:30 au Dar Arusha masaa 7 tu, kipindi hicho Ngorika na Buffalo Dar Arusha, Hekima, Sabco, Happy Nation, Hood Dar Mbeya, Ally's, Mombasa Raha, Colors star Dar Mwanza, gari zinakimbia Hadi watu wakanaa kimyaHuyo abiria nae hana akili kama ataki mbio si apande mabus ya Harusi yanajulikana. Yaani upande basi la wafanyabiashara then utake speed ya Harusi
Ngorongoro au Loliondo?Sisi tupo bize tunaweka beacon Huku ngorongoro
Kinacholeta ajali sio mwendo bali mis handling ya gari na overtake za kipuuuzi.Hili taifa lina baadhi ya watu wa ajabu sana, exceptionality ya SAULI inatokea wapi? SAULI kama mabasi mengine wanapaswa kufuata sheria. Kuna habari moja niliisikiliza ITV mwaka huu iliniumiza sana- Kuna abiria ambaye ni mama wa makamu kidogo, walipokuwa njiani aliona mwendo wa dereva siyo sahihi akaamua kumfuata dereva kumwambia, dereva apunguze mwendo,dereva na abiria wenzake wakamtukana sana, haikupita five minutes gari ikapata ajali dereva akafariki palepale na baadhi ya abiria, na wengine kupata majeraha akiwemo huyu mama wa makamu aliyepoteza mkono mmoja wa kulia. Kila nikiikumbuka sana hii story huwa na kosa maneno
Huyo abiria atakuwa ni wewe na umeoneaha udhaifu wa hali ya juu. Unakubali kupigwa?Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.
Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.
Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.
Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)
Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.
Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa, ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.
Baada ya muda walimuachia abiria huyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.
Kutokana na taarifa iyo inaonesha ukanda huo Dar mpk Tunduma kumekuwa na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
'Punguza mwendo kuna mteremko mkali' , 'Punguza mwendo kuna kona kali' . Hayo ni baadhi ya maonyo yaliyowekwa na tanroads halafu wewe unasema mwendo hauleti ajali.,Kinacholeta ajali sio mwendo bali mis handling ya gari na overtake za kipuuuzi.