Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

Hao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?

Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Uvuje kioo! Lazima namimi ningekuvunja shingo.
 
Pia wewe utakufa kizembe Kwa Kununua wa kimboka
Ah wapi. Sababu za kijinga zinazoua wengi. Kama umejisusa sawa . Mnatupia mpira kwingine. Ndio maana wazungu wanawadharau na kuwaona manyani ata reasoning hakuna.
 
Mpaka anaitwa mbele na yeye aksogea tu, anapokonywa simu na yeye anakodoa tu? Abiria wengine wakiwa wanashushwa alishindwa kupiga kelele kuwa ametekwa???
Nahisi kuna jambo halijaelezwa kwa uhalisia wake.
Ni ngumu sana kwa abiria mmoja kupigwa na kati ya watu 50 na kitu waliobaki asitokee hata mmoja kuingilia ikizingatiwa huyu muhanga wa kipigo kafanya jambo jema kwa niaba ya abiria wengine wote.
 
Hii story imeandikwa kimajungu sana...kuwa abiria achukuliwe simu na dereva agome kurudisha...na yeye katulia tu. Wamegoma kumpa simu wakati Nane nane kuna kituo cha polisi pale...wameenda naye mpaka stendi mjini napo polisi wapo. Yeye katulia.

Kuna mawalili..either ni mkereketwa wa kampuni pinzani kaamua aichafue kampuni hasimu kibiashara kwa mtindo huu.

Bila kusikia upande wa story hii wa madereva wa kampuni ya Sauli wa gari husika, ni vibaya kufanya conclusions kuwahukumu sauli.

Tatu, huenda tukio lilitokea kweli lakini msimuliaji kaongeza chumvi. Au huenda lilitokea kweli kama ilivyosimuliwa.
 
Kwa mtiririko wa matukio yote waliyo mfanyia huyo abiria kwanzia kumuita kumchukulia simu, kumzuia asishuke, sijui kumuhoji kumpiga
Inaonekana Walikutana na mtu dhaifu sana ila bado anayo nafasi ya kufanya comeback na kuwatia adabu kisheria
 
Abiria ni mjinga, humo ndani kusingekalika kwa upumbavu huo.

Mwaka mmoja natoka Moro kwenda Dar, nikapanda Costa kama saa 3 usiku msamvu, yani tulivyotoka tu Mikese dereva akabadilika, overtake za ajabu ajabu, overspeeding zisizo na usalama na kila hatari, nlikuwa nmekaa mbele kabisa, nkaona kifo hiki hapa, ikanibidi niamie nyuma Chalinze abiria alishuka.

Hapo hapo nkachukua ticket nkapiga namba iliyo kwenye ticket, nkawataarifu mwendo wa dereva kufika Dar majaliwa, muhusika akujali, hapo konda nishamlalamikia vya kutosha, katikayi ya Ruvu Darajani na Mlandizi tulikoswakoswa ajari, gari ikayumba sana, pamoja ilikuwa usiku nkaona nishuke tu Mlandizi nitafute usafiri mwingine.

Gari ilivyosimama Mungu mkubwa kituoni kuna Police, ikabidi nimreport jamaa, police akaingia ndani ya gari, kuuliza, abiria wakagawanyika, wengine wakamtetea dereva, wengine wakasema ukweli, Police akaamuru gari irudi nyuma hadi kituoni, cha kushukuru tunafika kituoni jamaa anahojiwa akamtukana on-duty officer, akapigiwa mwenye gari, hana la kusema tena, akaanza piga kwangu, sina cha kumsaidia, konda akabanwa, ikambidi atukodishie costa ya kutufikisha Dar, walivyomalizana wanajua wenyewe.

Cheza na vyote ila usicheze na maisha yangu.
 
Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.

Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.

Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.
Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.

Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.

Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)

Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.

Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa, ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.

Baada ya muda walimuachia abiria huyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.

Kutokana na taarifa iyo inaonesha ukanda huo Dar mpk Tunduma kumekuwa na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.

Abiria wengine wanatumwa kuharibu biashara za watu, wewe unapanda Sauli unajua abiria wote wanataka kuwahi kufika hata mm sikubali huo ujinga kapande Mabasi yanayofika saa 4 usiku, mabasi sikuhizi hayakimbii sana unakuta mtu kakaa siti ya mwisho analalamika speed humps kwanini usikate itikiti mapema ukae siti za mbele
 
Huyo abiria nae hana akili kama ataki mbio si apande mabus ya Harusi yanajulikana. Yaani upande basi la wafanyabiashara then utake speed ya Harusi
Abiria wengine ni nuksi sana, hivi angekuwa anasafiri miaka ya nyuma kabla ya ving'amuzi angehimili Dar-Mbeya masaa 9:30 tu au Mwanza Dar masaa 12:30 au Dar Arusha masaa 7 tu, kipindi hicho Ngorika na Buffalo Dar Arusha, Hekima, Sabco, Happy Nation, Hood Dar Mbeya, Ally's, Mombasa Raha, Colors star Dar Mwanza, gari zinakimbia Hadi watu wakanaa kimya
 
Hili taifa lina baadhi ya watu wa ajabu sana, exceptionality ya SAULI inatokea wapi? SAULI kama mabasi mengine wanapaswa kufuata sheria. Kuna habari moja niliisikiliza ITV mwaka huu iliniumiza sana- Kuna abiria ambaye ni mama wa makamu kidogo, walipokuwa njiani aliona mwendo wa dereva siyo sahihi akaamua kumfuata dereva kumwambia, dereva apunguze mwendo,dereva na abiria wenzake wakamtukana sana, haikupita five minutes gari ikapata ajali dereva akafariki palepale na baadhi ya abiria, na wengine kupata majeraha akiwemo huyu mama wa makamu aliyepoteza mkono mmoja wa kulia. Kila nikiikumbuka sana hii story huwa na kosa maneno
Kinacholeta ajali sio mwendo bali mis handling ya gari na overtake za kipuuuzi.
 
Kila nkivuta taswira ya huyo abiria ,naumia roho jmn

anaitwa mbele kimya,
anapokonywa simu kimya,
anaomba kushuka ,wanakataa,
anapigwa, kimya
Daaaah.

Hiyo gari isngefika aisee, na abiria wangeomba wao ndo washuke mana hiyo vurugu ambayo ingetokea -SERIKALI ingeingiliaaa mamamaae
 
Ndo maana chuganian huwa tunasafiri na beto. Eti niliripoti uovu halafu dereva achukue simu yangu dah
 
Dereva wa bus ya kampuni ya saul T 485 DXE wamshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed meter 115-120.

Kutokana na story ya muhusika anasimulia kua alikua na app ya kusoma speed ya ggari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.

Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group alipokea DM za vitisho kutoka kwa namba tofauti.

Baadae kidogo alipgiwa simu na dereva wa gari ilo na kumtaka asogee mbele yani atoke siti iyo akakae mbele kwa dereva,alipofika dereva alimpokonya simu na kumtishia.

Baada ya safari kwenda kwa masaa kadhaa bila muhusika kupewa simu yake ilifika hatua abiria uyo alitaka kushuka sehem inayoitwa uyole wakati anataka kushuka walimzuia na kumtaka asishuke kwamba wanampeleka polisi kwa kosa la kurec na kuwachomea maovu yao.

Abiria alijitahidi kuwaomba na na kuwasisitiza lakini waligoma na kuondoka nae pasipo kumpeleka polisi.(utekaji huu)

Baada ya kufika mwisho wa safari walishusha abiria wote na kubaki wao madereva na baadhi ya watu wachache na kuanza kumhoji na kumpiga kwa kumlazimisha kusema nani amemtuma kurecord maovu ya kampuni yao ya SAUL na ilifikia hatua ya kumlazimisha amtaje moja ya mtu wa kampuni shindani ya New force.

Baada ya kipigo na vitisho vya muda mrefu walikagua simu na kujaribu kuweka namba za baadhi za watu waliohisi wao ndio wamemtuma ila walikuta abiria uyo hana namba za wahusika hao kabisa, ndipo walipomlazimisha kuformat simu yote na vitisho juu.

Baada ya muda walimuachia abiria huyo akiwa na majeraha maeneo ya mgongoni kutokana na kipigo walichomshushia.

Kutokana na taarifa iyo inaonesha ukanda huo Dar mpk Tunduma kumekuwa na ajali nyingi sana sababu ya rushwa na madereva kujiona tyr wameshika system.
Huyo abiria atakuwa ni wewe na umeoneaha udhaifu wa hali ya juu. Unakubali kupigwa?
 
Kinacholeta ajali sio mwendo bali mis handling ya gari na overtake za kipuuuzi.
'Punguza mwendo kuna mteremko mkali' , 'Punguza mwendo kuna kona kali' . Hayo ni baadhi ya maonyo yaliyowekwa na tanroads halafu wewe unasema mwendo hauleti ajali.,

Usifikiri hao Sauli wanazingatia sana sehemu za 'punguza mwendo' la hasha na mbaya zaidi pia wana overtake za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom