Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

suit yourself... we are never afraid of talking about our problems... nyinyi mnakuwanga denial mode through-out
Hicho kizungu kwani ada umenilipia wewe ....bora wa denial kuliko anaejiona kama mjukuu wa trump kumbe kenge tu
 
kwa Hali Kama hiyo ni kwamba madereva wa tz wakipwa Kenya wanakutwa na korona wakati Tanzania walipimwa negative? ndio tatizo kubwa la madereva wa tz nao kugoma kupimwa Kenya mamlaka za Kenya Zina tatizo kwenye hili
 
I can tell you, mimi ni muathirika mkubwa sana wa hii kadhia! Mambo yangu mengi yamesimama. Naishi few metres kutopka kwenye moja wa mpaka na Kenya na naendesha biashara zzangu kwa kutegemea movement between these two countries. Ila kwa situation inayoendelea wacha iendelee tu, I can`t be selfish to look at my own! I`m looking at the big picture, the future of my children and my grand children. Nchi kwanza.
 
M Mkuu, madereva wa Tanzania wanakataa kupimwa Kenya, ile mode ya upimaji ni mateso makubwa kwao, na cha ajabu zaidi kuna waliopimwa Kenya wakaonekana +ve, walipopimwa Tz, wapo -ve, kenya sio marafiki wa kuaminka, ni wanafiki mno, ulishawahi fanya kazi na mkenya ? Ni wanafiki mno
 
Sawa wewe hapo umeelewa Nini? Bado wagonjwa wanne halafu unaelewa kuwa Corona imekwisha? Unaelewa maana ya kwisha?
si rais wenu amesema hivo .... si uende ujibizane naye
 
kwa nini Waganda hawasemi kuwa sisi ni wanafiki ? ni nyinyi tu
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
 
si rais wenu amesema hivo .... si uende ujibizane naye
Nimekuuliza wewe umeelewa Nini?! Yaani kwa akili zako za kinyangau umeelewa kuwa Corona haipo Tena TZ!?! Unalazimika uzame kujifunza Kiswahili...
 
Sasa huku kwetu mnakuja kufanya nini? Kiherehere chenu tu
 
We don't want you in our country... Stay huko huko kwenu machako
 
Nimekuuliza wewe umeelewa Nini?! Yaani kwa akili zako za kinyangau umeelewa kuwa Corona haipo Tena TZ!?! Unalazimika uzame kujifunza Kiswahili...
wacha Ukiritimba mla-albino,
Rais wenu amesema hivi "COrona imekwisha, Dar palikuwa na wagonjwa wanne" "note the past tense"...
 
You are a Brave man
 
majibu ya mgonjwa ni confidencial.
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
Sisi hatupimi na lazima tutaingia Kenya, ninyi tumezuia madereva wenu pamoja na kwamba wamekubali tuwapime, lakini hata hilo la kuwapima pia tumekataa, lengo ni kuwalazimisha mkubali watu wetu waingie bila kupimwa, lazima mtakubaliana na Tanzania, kinyume na hapo hakuna mkenya hata mmoja atakanyaga ardhi ya Tanzania
 
ha ha Rais wenu alisema hakuna Corona,
unataka nilete Video ?
Alisema Dar wamebaki wagonjwa 4, sasa hapo akisema ugonjwa umekwisha lakini wamebaki wagonjwa 4 Dar, na Dodoma wagonjwa 3, wewe akili yako inakutafsiria kwisha kabisa au unakaribia kwisha?, tatizo ni uwezo wenu wa akili ni mdogo sana.
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
Em msitupangie ya nchini kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…