Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

suit yourself... we are never afraid of talking about our problems... nyinyi mnakuwanga denial mode through-out
Hicho kizungu kwani ada umenilipia wewe ....bora wa denial kuliko anaejiona kama mjukuu wa trump kumbe kenge tu
 
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
kwa Hali Kama hiyo ni kwamba madereva wa tz wakipwa Kenya wanakutwa na korona wakati Tanzania walipimwa negative? ndio tatizo kubwa la madereva wa tz nao kugoma kupimwa Kenya mamlaka za Kenya Zina tatizo kwenye hili
 
my country tanzania lacks educated citizensL so wewe unaona ni jambo la kufurahia apo? we both depend on each other, kuna mtu kupitia uhusiano wa tanzaia na kenya ndo anaendesha maisha yake, kuna mtu kenya antegemea tanzania kuendesha maisha yake na kuna mtanzania anaendesha maisha yake kupitia kenya! how is this even something unaweza sema comment kama hii

I can tell you, mimi ni muathirika mkubwa sana wa hii kadhia! Mambo yangu mengi yamesimama. Naishi few metres kutopka kwenye moja wa mpaka na Kenya na naendesha biashara zzangu kwa kutegemea movement between these two countries. Ila kwa situation inayoendelea wacha iendelee tu, I can`t be selfish to look at my own! I`m looking at the big picture, the future of my children and my grand children. Nchi kwanza.
 
M
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
Mkuu, madereva wa Tanzania wanakataa kupimwa Kenya, ile mode ya upimaji ni mateso makubwa kwao, na cha ajabu zaidi kuna waliopimwa Kenya wakaonekana +ve, walipopimwa Tz, wapo -ve, kenya sio marafiki wa kuaminka, ni wanafiki mno, ulishawahi fanya kazi na mkenya ? Ni wanafiki mno
 
Sawa wewe hapo umeelewa Nini? Bado wagonjwa wanne halafu unaelewa kuwa Corona imekwisha? Unaelewa maana ya kwisha?
si rais wenu amesema hivo .... si uende ujibizane naye
 
M
Mkuu, madereva wa Tanzania wanakataa kupimwa Kenya, ile mode ya upimaji ni mateso makubwa kwao, na cha ajabu zaidi kuna waliopimwa Kenya wakaonekana +ve, walipopimwa Tz, wapo -ve, kenya sio marafiki wa kuaminka, ni wanafiki mno, ulishawahi fanya kazi na mkenya ? Ni wanafiki mno
kwa nini Waganda hawasemi kuwa sisi ni wanafiki ? ni nyinyi tu
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
 
si rais wenu amesema hivo .... si uende ujibizane naye
Nimekuuliza wewe umeelewa Nini?! Yaani kwa akili zako za kinyangau umeelewa kuwa Corona haipo Tena TZ!?! Unalazimika uzame kujifunza Kiswahili...
 
Porojo porojo tu kama kawa. Kwani kuna siku hata moja ambapo madereva kutoka Kenya walikataa kupimwa? Mnajifanya mmesahau kwamba shughuli ya kuwapima madereva wa Tz wakiingia Kenya ndio ileleta mgogoro wote kwenye mpaka hapo awali? Hadi GOK ikafunga mpaka na kutoa agizo kwamba madereva tu ndio wanaruhusiwa kuingia, tena baada ya kupimwa na kupatikana kwamba hawana virusi? Maanake hamkutaka wapimwe wala hamkutaka kutangaziwa idadi ya madereva wa Tz ambao walikuwa wamepatikana na COVID-19, mkidai kwamba Tz hakuna Corona. Hii ni 'reverse psychology' au ni serikali yenu ndio imechanganyikiwa? Hakuna dalili zozote ambazo zinaonesha kwamba kuna upimaji wowote unaondelea upande wa Tz, sio kwa raia wa Tz wala wageni. Wiki iliyopita mmepima sampuli ngapi nchini Tz, zilizopatikana +ve nazo ni ngapi? Tupeni takwimu majirani, acheni ubishoo na siasa za peni mbili.
Sasa huku kwetu mnakuja kufanya nini? Kiherehere chenu tu
 
The Bottom line is that no Kenyan Authority will accept certificates from Tanzania as a proof of their drivers being negative.
Lazima wapimwe tena on the Kenyan side.Kama hawataki kupimwa wabaki kwao.Magufuli has exposed you so badly no one trusts covid Data from Tanzania.
We don't want you in our country... Stay huko huko kwenu machako
 
Nimekuuliza wewe umeelewa Nini?! Yaani kwa akili zako za kinyangau umeelewa kuwa Corona haipo Tena TZ!?! Unalazimika uzame kujifunza Kiswahili...
wacha Ukiritimba mla-albino,
Rais wenu amesema hivi "COrona imekwisha, Dar palikuwa na wagonjwa wanne" "note the past tense"...
 
I can tell you, mimi ni muathirika mkubwa sana wa hii kadhia! Mambo yangu mengi yamesimama. Naishi few metres kutopka kwenye moja wa mpaka na Kenya na naendesha biashara zzangu kwa kutegemea movement between these two countries. Ila kwa situation inayoendelea wacha iendelee tu, I can`t be selfish to look at my own! I`m looking at the big picture, the future of my children and my grand children. Nchi kwanza.
You are a Brave man
 
Porojo porojo tu kama kawa. Kwani kuna siku hata moja ambapo madereva kutoka Kenya walikataa kupimwa? Mnajifanya mmesahau kwamba shughuli ya kuwapima madereva wa Tz wakiingia Kenya ndio ileleta mgogoro wote kwenye mpaka hapo awali? Hadi GOK ikafunga mpaka na kutoa agizo kwamba madereva tu ndio wanaruhusiwa kuingia, tena baada ya kupimwa na kupatikana kwamba hawana virusi? Maanake hamkutaka wapimwe wala hamkutaka kutangaziwa idadi ya madereva wa Tz ambao walikuwa wamepatikana na COVID-19, mkidai kwamba Tz hakuna Corona. Hii ni 'reverse psychology' au ni serikali yenu ndio imechanganyikiwa? Hakuna dalili zozote ambazo zinaonesha kwamba kuna upimaji wowote unaondelea upande wa Tz, sio kwa raia wa Tz wala wageni. Wiki iliyopita mmepima sampuli ngapi nchini Tz, zilizopatikana +ve nazo ni ngapi? Tupeni takwimu majirani, acheni ubishoo na siasa za peni mbili.
majibu ya mgonjwa ni confidencial.
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
Sisi hatupimi na lazima tutaingia Kenya, ninyi tumezuia madereva wenu pamoja na kwamba wamekubali tuwapime, lakini hata hilo la kuwapima pia tumekataa, lengo ni kuwalazimisha mkubali watu wetu waingie bila kupimwa, lazima mtakubaliana na Tanzania, kinyume na hapo hakuna mkenya hata mmoja atakanyaga ardhi ya Tanzania
 
ha ha Rais wenu alisema hakuna Corona,
unataka nilete Video ?
Alisema Dar wamebaki wagonjwa 4, sasa hapo akisema ugonjwa umekwisha lakini wamebaki wagonjwa 4 Dar, na Dodoma wagonjwa 3, wewe akili yako inakutafsiria kwisha kabisa au unakaribia kwisha?, tatizo ni uwezo wenu wa akili ni mdogo sana.
 
Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
Em msitupangie ya nchini kwetu
 
Back
Top Bottom