Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

We mjinga tu nikuulize
1. Idadi ya raia wenu itapimwa yote kwa muda gani?

2. Zile mukopo na misaada uliyopokea wewe umepata ksh?

3. Baada ya mass testing mnawatibia na nini?

Kama lengo la lockdown na mbwembwe ni kupata misaada endeleeni kivyenu bora na Uganda wanawakazia
Debe tupu, Kalb hayawan weye.
 
Porojo porojo tu kama kawa. Kwani kuna siku hata moja ambapo madereva kutoka Kenya walikataa kupimwa? Mnajifanya mmesahau kwamba shughuli ya kuwapima madereva wa Tz wakiingia Kenya ndio ileleta mgogoro wote kwenye mpaka hapo awali? Hadi GOK ikafunga mpaka na kutoa agizo kwamba madereva tu ndio wanaruhusiwa kuingia, tena baada ya kupimwa na kupatikana kwamba hawana virusi? Maanake hamkutaka wapimwe wala hamkutaka kutangaziwa idadi ya madereva wa Tz ambao walikuwa wamepatikana na COVID-19, mkidai kwamba Tz hakuna Corona. Hii ni 'reverse psychology' au ni serikali yenu ndio imechanganyikiwa? Hakuna dalili zozote ambazo zinaonesha kwamba kuna upimaji wowote unaondelea upande wa Tz, sio kwa raia wa Tz wala wageni. Wiki iliyopita mmepima sampuli ngapi nchini Tz, zilizopatikana +ve nazo ni ngapi? Tupeni takwimu majirani, acheni ubishoo na siasa za peni mbili.
Hatuna ujinga wakupima watu hata kama hawaumwi. Acheni kuiga kila kitu toka kwa wazungu. Mbona hatupimi malaria??
 
international organizations and nations...
IMF,world bank, UE, USA , Israel , Uganda , SOmali..
tukisema ni waume zenu unanuna[emoji16][emoji16][emoji16].

data zako, USA zinwasaidia nini mpaka upeleke zikiwa sahihi!!!
 
Upperhand kwenye upumbavu au? Kwa kifupi unashabikia serikali yako inavyojibu hoja, mbinu, na sera za GOK za kulinda afya ya wananchi wa Kenya kwa kukurupuka bila mikakati ya kueleweka kuhusu janga la Corona? Hiyo ndio defination kamili ya ulofa na kubebewa akili. Masharti ya nyumba yangu ni kwamba unapoingia lazima uvue viatu- Rais Uhuru Kenyatta. Hiyo ndio hoja muhimu, zaidi ya hapo hayo mengine ni siasa duni na mateke ya punda mwendawazimu.
Kila mtu abaki kwao,mnalalamika nini sasa,hv ushasikia dereva wa Tanzania wakilalamika kama wanavyolalamika wakenya!
 
🤣🤣🤣
pitalRadio
@CapitalRadiotz

#Habari:Madereva wa magari makubwa ya mizigo wamekwama kwa siku tano katika mpaka wa Holili mkoani Kilimanjaro kutokana na upande wa Kenya kutotambua vyeti vya vipimo vya ugonjwa wa Corona vinavyotolewa na Wizara ya Afya ya Tanzania kwa madereva hao.
Translate Tweet
Image
2:30 PM · Jun 5, 2020·TweetDeck
2
Likes

Nukta Tanzania
@NuktaTanzania

Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) kimeiomba Serikali kuzitafutia ufumbuzi changamoto nne ikiwemo unyanyasaji wa madereva wa Tanzania katika mpaka wa nchi za Rwanda na Kenya ili kuimarisha shughuli za kibiashara katika nchi hizo.
Translate Tweet

Nukta | Tanzania yaombwa kushughulikia adha za madereva kwenye mipaka
Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) kimeiomba Serikali kuzitafutia ufumbuzi changamoto nne ikiwemo unyanyasaji wa madereva wa Tanzania katika

aibu Waziri
@wizara_afyatz
,Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.
Translate Tweet

Image
Image
8:22 AM · Jun 10, 2020·Twitter for Android

joto la jiwe alishaikimbia mada! mara ya mwisho alioonekana ferry sijui anaelekea zanzibar......................
 
Muafaka gani unataka wewe...muafaka ulishafanywa...Kila dereva apime nchini mwake na akiingia nchi nyingine aonyeshe certificate ya upimaji...manyang'au wamekiuka makubaliano...ni vema issue ibaki hivi hivi ...Kila mtu apambane na hali yake..nyang'au hakuna kuingia TZ..na MTZ naye hakuna kwenda kwa manyang'au..
Mpango mzima uwe hivyo
 
Eti all that fell to deaf ears

Mtatukana sana. Mtuache na corona yetu
 
Makubaliano kila nchi ipime wa kwake na kuwapa vyeti, Kenya wamevunja hilo na wanadai hadi 2,000/- Ksh ili dereva wa Tanzania aingie Kenya.

Tutaelewana tu kidogo kidogo
Hapa naona unashabikia ujinga tu.. Swala la muhimu ni pande zote mbili kufikia muafaka wa nini kifanyike.

Kama swala ni kila dereva aingiapo nhci nyingine apimwe basi iwe hivyo na biashara kuendelea
 
Simple, kila mtu abaki kwake. Tusisumbuane.
Porojo porojo tu kama kawa. Kwani kuna siku hata moja ambapo madereva kutoka Kenya walikataa kupimwa? Mnajifanya mmesahau kwamba shughuli ya kuwapima madereva wa Tz wakiingia Kenya ndio ileleta mgogoro wote kwenye mpaka hapo awali? Hadi GOK ikafunga mpaka na kutoa agizo kwamba madereva tu ndio wanaruhusiwa kuingia, tena baada ya kupimwa na kupatikana kwamba hawana virusi? Maanake hamkutaka wapimwe wala hamkutaka kutangaziwa idadi ya madereva wa Tz ambao walikuwa wamepatikana na COVID-19, mkidai kwamba Tz hakuna Corona. Hii ni 'reverse psychology' au ni serikali yenu ndio imechanganyikiwa? Hakuna dalili zozote ambazo zinaonesha kwamba kuna upimaji wowote unaondelea upande wa Tz, sio kwa raia wa Tz wala wageni. Wiki iliyopita mmepima sampuli ngapi nchini Tz, zilizopatikana +ve nazo ni ngapi? Tupeni takwimu majirani, acheni ubishoo na siasa za peni mbili.
 
Sasa mnalia nini, si kila mtu abaki kwake?
Upperhand kwenye upumbavu au? Kwa kifupi unashabikia serikali yako inavyojibu hoja, mbinu, na sera za GOK za kulinda afya ya wananchi wa Kenya kwa kukurupuka bila mikakati ya kueleweka kuhusu janga la Corona? Hiyo ndio defination kamili ya ulofa na kubebewa akili. Masharti ya nyumba yangu ni kwamba unapoingia lazima uvue viatu- Rais Uhuru Kenyatta. Hiyo ndio hoja muhimu, zaidi ya hapo hayo mengine ni siasa duni na mateke ya punda mwendawazimu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

joto la jiwe alishaikimbia mada! mara ya mwisho alioonekana ferry sijui anaelekea zanzibar......................
Tatizo lenu ninyi hamna akili mnachosha sana, mbona hamuelewi mambo madogo kiasi hili?

1)Mkutano wa mawaziri walikubaliana kila nchi itawapima madereva wao na kuwapa certificates ambazo zitakubalika kwa nchi zote.

2)Kenya ndio mlianza kuzikataa na kulazimisha kuwapima tena madereva wa Tanzania.

3)Madereva wa Tanzania walikataa na kurudi Tanzania.

4)Tanzania ikajibu kwa kutokuruhusu madereva wa Kenya kuingia Tanzania hata kama wanaonyesha vyeti vya Kenya.

5)Madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo Tayari kupimwa tena wanapoingia Tanzania, Serikali ya Tanzania imekataa hilo ombi na kushikilia msimamo wa kutokuwaruhusu madereva wa Kenya kuingia Tanzania.

Sasa kitu gani hapa hujakielewa?, baada ya kukataa kutambua cerificates za Tanzania, tumelipiza kwa kuwakatalia madereva wenu kuingia Tanzania hata kama watakubali tuwapime tena.
 
Mbona viongozi wa sekta zinazohusika wa nchi zote mbili walikaa wakazungumza na kukubaliana jinsi ya kushughulika na jambo hili? Imekuwaje tena?
 
Tunachosema hapa ni kwamba, madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo tayari kupimwa lakini Tanzania tumekataa, wakati madereva wa Tanzania wakikubali kupimwa huko Kenya wataruhusiwa kuingia Kenya lakini madereva wa Tanzania wamekataa kupimwa Kenya, "who is at the upper hand?"
Hayo siyo makubaliano yaliyoafikiwa na pande zote mbili. Makubaliano yalikuwa kila dereva apimwe nchini kwake. Uungwana ni pamoja na kuheshimu makubaliano yaliyoridhiwa na pande zote mbili.
 
Hayo siyo makubaliano yaliyoafikiwa na pande zote mbili. Makubaliano yalikuwa kila dereva apimwe nchini kwake. Uungwana ni pamoja na kuheshimu makubaliano yaliyoridhiwa na pande zote mbili.
Sasa nani kati ya Kenya na Tanzania mwenye kukiuka makubaliano?
 
Tatizo lenu ninyi hamna akili mnachosha sana, mbona hamuelewi mambo madogo kiasi hili?

1)Mkutano wa mawaziri walikubaliana kila nchi itawapima madereva wao na kuwapa certificates ambazo zitakubalika kwa nchi zote.

2)Kenya ndio mlianza kuzikataa na kulazimisha kuwapima tena madereva wa Tanzania.

3)Madereva wa Tanzania walikataa na kurudi Tanzania.

4)Tanzania ikajibu kwa kutokuruhusu madereva wa Kenya kuingia Tanzania hata kama wanaonyesha vyeti vya Kenya.

5)Madereva wa Kenya wanaomba kuruhusiwa kuingia Tanzania na wapo Tayari kupimwa tena wanapoingia Tanzania, Serikali ya Tanzania imekataa hilo ombi na kushikilia msimamo wa kutokuwaruhusu madereva wa Kenya kuingia Tanzania.

Sasa kitu gani hapa hujakielewa?, baada ya kukataa kutambua cerificates za Tanzania, tumelipiza kwa kuwakatalia madereva wenu kuingia Tanzania hata kama watakubali tuwapime tena.
tatizo lako ni propaganda hadi unachosha, waltham amekupa hali kamili kama ilivyo kwa madereva wa tz. Kuingia Kenya lazima wapimwe, kama hawataki kupimwa hawaiingii kamwe. Madereva wa Kenya hawakatai kupimwa ili kuingia tz lakini tunajua kuwa hampimi kwa kuwa hamna uwezo wala utalam na vifaa. Maabara mlisha funga baada ya kupima mapapai sasa sijui unatoa povu hapa ili iweje.
 
Back
Top Bottom