Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

Madereva wa Kenya waipigia magoti Tanzania, wapo tayari kupimwa tena waingiapo Tanzania. Ombi lao lakataliwa

Wa tz wacheni ujinga! huko kwenu hampimi korona, vyeti mnachapisha kariokoo mkifikiria mnaweza kuwatapeli waKenya. Maneno ni simpo sana, hapaingii mtu bila kupima, kama mnabisha fikeni mpakani mjionee hali ilivyo.
Kwani tumelilia kuja kwenu?? Always mnaolilia ni nyie ......huku kuna corona ya kumwaga kwanini mnaruhusu madereva wenu waje huku kwani hamuwapendi?? Cha muhimu fungeni mpaka mtoeno balozi wenu maisha yasonge
 
wacha Ukiritimba mla-albino,
Rais wenu amesema hivi "COrona imekwisha, Dar palikuwa na wagonjwa wanne" "note the past tense"...
Kwa hiyo unasemaje Sasa.,..tatizo lenu hamjui Kiswahili...Kama waliwasiliana naye na akasema kuwa walikuwa wamebaki wanne Kuna tatizo gani hapo?? Hiyo ya ukiritimba mla albino una maana gani hapo?? Inaelekea hujui hata unachojadili na hata maana ya maneno Kama neno ukiritimba..
 
Back
Top Bottom