Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Wazo zuri sana mkuu kwa sababu haiwezekani eti mtu ulikua na class C Leo urudi shule tena kupata class D,huo ni uonevu mkubwa sana sijajua mamlaka ziliwaza nini ingekua Kila baada ya muda flani watu wanafanya mitihani Ambae anafeli Kwa round kadhaa basi afungiwe TU lessen akafanye kazi nyingine.suluhisho ni simple, wafanyanyiwe mitihani, akipita anaendelea, akishindwa anarudi shuleni ...
Hao traffic wakipewa mitihani waliyofanya chuo cha Polisi wote wanafeliOgopa ktu kinaitwa MTIHAN unaweza kufeli kwa sababu mingi sanaaa...