Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus
Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka hazina habari kabisa na uvunjifu wa sheria unaofanywa na mabus, Wao kila muda ni kuwahi tu wanaendesha mabus very rough barabarani utahisi wao wako exempted na hizo sheria za Barabarani yani wao haziwahusu
Jeshi la Polisi mpaka tunaanza kuwatilia shaka kuwa je mnahongwa na wamiliki wa mabus ili waendeshe mabus barabarani wanavyotaka?
Juzi kuna bus fulani nalo naona limepita tu mzani bila hata Kupimwa mpaka nikashangaa tena mizani zaidi ya Mbili na wala zio weighbridge hazikuwa na Foleni yoyote ile, Ilibidi Niandikie mamlaka za barabara email kuwapa taarifa kuhusu ilo Bus zifahamu walichukua hatua
Nimewahi Kureport Latra na Kwa Trafic mkuu mara nyingi sana Kuhusu misconduct za Mabus ila sioni hatua zozote zikichukuliwa kwa izo Kampuni