Madereva wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation mbaroni kwa ku-bet na kufanya ligi barabarani

Watu wanabishaga vyuma vinatemvea hadi 160
 
Hivyo ving'amuzi vinafanyaje kazi? Vinawekwa wapi? Na nani anakua anaviangalia mkuu?
Ni system mpya ya kusimamia mwendo wa gari, inaripoti moja kwa moja LATRA, ila hii system iko tempered kwa sasa na mabasi mengi hasa haya mapya hayajafunga kabisa. Yangekua yamefungwa yangechelewa kufika kama mwanzoni pale ambapo mwisho ilikua ni speed 80km/hr. Mimi nasafiri sana na huwa nafanya monitoring ya speed kwa kutumia App kwenye simu, inakuonyesha na hata hapa naweza ku screeshot nikaweka safari ya Kahama kipindi fulani.

Hii kitu haifanyi kazi na mabasi machache yanapiga hizo alarm sasa hivi
 
Kwaio alarm inapiga humi humo kwenye basi lililofungwa hicho king'amuzi? Ndo inataka ifanane na ile ya miaka ilee iliitwaga speed governor
 
Kwaio alarm inapiga humi humo kwenye basi lililofungwa hicho king'amuzi? Ndo inataka ifanane na ile ya miaka ilee iliitwaga speed governor
Yes, gari ikifika speed 80 ytu inaanza kupiga alarm, na ikipiga alarm inasoma kwenye system ya LATRA kwahio driver unapigwa fine na system kwenye licence yako, but it was back then
 
Yes, gari ikifika speed 80 ytu inaanza kupiga alarm, na ikipiga alarm inasoma kwenye system ya LATRA kwahio driver unapigwa fine na system kwenye licence yako, but it was back then
Hivi wanafunga hata kwenye yale ma coaster yanayosafirishaga misiba ? Au ni mabasi ya abiria tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…