ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Tena walikuwa wanamtukana aliyepost hiyo video kule insta[emoji43]Alafu watu wa Mbeya wanamatatizo vichwani, mnawezaje kukaa kimya na kufurahia kwenye basi huku dereva anafanya upuuzi huo? Acheni usela mavi.