Madereva wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation mbaroni kwa ku-bet na kufanya ligi barabarani

Madereva wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation mbaroni kwa ku-bet na kufanya ligi barabarani

kiukweli speed 80kph ni ndogo sana, mabasi yangeruhusiwa angalau yafike 110kph. watu wanatumia muda mwingi barabarani. 110 basi bado ni controllable.
Another Point, kuna mazingira 80kph ni kutiana njaa tuu, juzi nilipanda ilikua inagonga 120 na ushee baadhi ya maeneo,
Ndio ni hatari, ila 80kph ndogo sana...

Halafu ngoja niulize haya mabasi yote mwisho si 140kph? Kuna siku mzigo ulimiminwa 140 yote lakini tulipitwa kama tumesimama, how comes kwa wajuvi?
 
Pia ni ujuha kuwasingizia madereva pekee.

Haiwezekan Abiria 50 au 30 ndan ya Gari mpinge mwendo huo wa dereva halaf dereva awe na udhubutu huo, kinachotokea ni Unafiki.

Mkifika salama mnampongeza mnamuona mjanja, mkiuvaa Mkenge wa ajali mnamgeuka.
 
kiukweli speed 80kph ni ndogo sana, mabasi yangeruhusiwa angalau yafike 110kph. watu wanatumia muda mwingi barabarani. 110 basi bado ni controllable.
Speed Mia inatosha, 110 tusije tukaenda mbali sana japo najua 110 gari yoyote inakuwa controllable. Ukizidi 120 kidogo hapo ikitokea shida kulidhibiti gari inakuwa ni ishu
 
Pia na abilia ni moja ya mashetani, mmejaa humo dereva anawaburuza kama kabeba cabbage, dereva mwenyewe niliona yupo afande yaani anatabasamu kabisa, hapo ni siku ngapi anaendelea na kazi yake upuuzi mtupu
 
Nimerudi tena ila tuulizane hapo walikua spidi ngapi??
Mana gari kubwa hizo hata ka mmoja alikua 50 na mwingine 58 lazma uone moto bati kwny video
 
Game tamu sana hizo, acheni kabisa. kwanza hapo bado kabisa mbona? Hizo gemu tamu balaaa, kuna mtu juzi nimesema hapa ving'amujzi havifanyi kazi, akanibishia, haya nambie sasa hapo kuna speedometer gani inafanya kazi? Hao wamekamatwa baada ya video kwenda viral not tracking system ya hao siju wapi huko
Hapo mchina anapiga hela kama hana akili nzuri ati king'amuzi
 
Back
Top Bottom