Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Another Point, kuna mazingira 80kph ni kutiana njaa tuu, juzi nilipanda ilikua inagonga 120 na ushee baadhi ya maeneo,kiukweli speed 80kph ni ndogo sana, mabasi yangeruhusiwa angalau yafike 110kph. watu wanatumia muda mwingi barabarani. 110 basi bado ni controllable.
Dah nimeicheki hii,hao madereva nadhani ringi kichwani zimekata aiseeee hasa huyo wa nyuma.Hii hapa sasa ndio ligi kamili
😝😝😝😝😝😝, Nadaiwa Mda wowote yono wanapiga kambi..Hahhhhga why mkuu?
Speed Mia inatosha, 110 tusije tukaenda mbali sana japo najua 110 gari yoyote inakuwa controllable. Ukizidi 120 kidogo hapo ikitokea shida kulidhibiti gari inakuwa ni ishukiukweli speed 80kph ni ndogo sana, mabasi yangeruhusiwa angalau yafike 110kph. watu wanatumia muda mwingi barabarani. 110 basi bado ni controllable.
Hahhahaa.sasa si Bora wewe unakopesheka mkuu! Hahhahaa usiuze marehemu tu aise🤸🤸!😝😝😝😝😝😝, Nadaiwa Mda wowote yono wanapiga kambi..
Nilikopa halafu dhamana nimeweka shamba la urithi na linamakaburi ya ukoo wote...😝😝
Scania Vs Nissan DieselDah nimeicheki hii,hao madereva nadhani ringi kichwani zimekata aiseeee hasa huyo wa nyuma.
Mkuu kama upo huko tukutane sehemu na wadau kama woteMaleo[emoji28][emoji28]
Umechanganyikiwa sana, leo hii unamkana hata ndugu yenu wa hapo Lumumba. Very sad.Shetani ni nani?
nabil mbn mzembeHii hapa sasa ndio ligi kamili
Ameishushia heshima Scanianabil mbn mzembe
Hapo mchina anapiga hela kama hana akili nzuri ati king'amuziGame tamu sana hizo, acheni kabisa. kwanza hapo bado kabisa mbona? Hizo gemu tamu balaaa, kuna mtu juzi nimesema hapa ving'amujzi havifanyi kazi, akanibishia, haya nambie sasa hapo kuna speedometer gani inafanya kazi? Hao wamekamatwa baada ya video kwenda viral not tracking system ya hao siju wapi huko