Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Aise nipe habari ya premio...nasikia wadau nao wanaenjoy tu yani nayo ni tamu
Hawa wenye premio huwa ni washua fulani hivi wanendesha gari zao kwa umakini sana. Ila wanazingua tu kuchati hovyo na simu zao.
 
Mtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani.

Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako haina speed Achaneni Nayo. Mimi Nakimbia Traffic Mtu kaniungia balaa Mpaka tumefikishana Mbali[emoji3][emoji3]

SalamAleikum...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

A peaceful Reminder tu Jaman msirushe Ngumi.
Sisi madereva wa Subaru hatuna mambo hayo,kwanza gari zetu zenyewe zinazoweza na kujitosheleza😂
 
Mtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani.

Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako haina speed Achaneni Nayo. Mimi Nakimbia Traffic Mtu kaniungia balaa Mpaka tumefikishana Mbali[emoji3][emoji3]

SalamAleikum...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

A peaceful Reminder tu Jaman msirushe Ngumi.

Kwa safari za mkoani huwa inasaidia safari kuwa fupi,
IMG_1858.jpg
 
Hata kama ila sio kupitwa na kibuti IST, sasa kuna haja gani ya kuwa na gari inayoizidi IST.
 
Back
Top Bottom