Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
B58 ni BMW ya kuanzia 2015 na hio S58 ni ya kuanzia 2019...Uzuri engines za B58 na S58 zina the best fuel consumption haijalishi ni za 3l.
Nguvu ipo ya kutisha. B58 zinaanzia 350hp na S58 zinaanzia 510hp.
Sent using Jamii Forums mobile app