Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Aise nipe habari ya premio...nasikia wadau nao wanaenjoy tu yani nayo ni tamu
Hawa wenye premio huwa ni washua fulani hivi wanendesha gari zao kwa umakini sana. Ila wanazingua tu kuchati hovyo na simu zao.
 
Sisi madereva wa Subaru hatuna mambo hayo,kwanza gari zetu zenyewe zinazoweza na kujitosheleza😂
 

Kwa safari za mkoani huwa inasaidia safari kuwa fupi,
 
Hata kama ila sio kupitwa na kibuti IST, sasa kuna haja gani ya kuwa na gari inayoizidi IST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…